Wiyelelee
JF-Expert Member
- Nov 9, 2012
- 1,071
- 348
- Thread starter
- #21
me napata tabu sana kuona vyuo vya namna hii vikishamiri hapa tz, sijui hawa tcu wanafanya nini, kila kukicha vyuo vya ajabu ajabu vinaibuka, mbaya zaidi wanakimbilia kufundisha education ili waiue kabisa elimu yetu
Kwa sasa kila kitu ni ruksa! Ukitaka ku prove anzisha ata nursery nyumbani kwano na iite luhombi international school.Hakuna atakae kufuata