Kwa wanaosoma KIU, PhD zasimamishwa Uganda

Kwa wanaosoma KIU, PhD zasimamishwa Uganda

me napata tabu sana kuona vyuo vya namna hii vikishamiri hapa tz, sijui hawa tcu wanafanya nini, kila kukicha vyuo vya ajabu ajabu vinaibuka, mbaya zaidi wanakimbilia kufundisha education ili waiue kabisa elimu yetu

Kwa sasa kila kitu ni ruksa! Ukitaka ku prove anzisha ata nursery nyumbani kwano na iite luhombi international school.Hakuna atakae kufuata
 
Hichi chuo, tawi la Tanzania lilikuwa ma mgogoro na TCU, habari ni kwamba kilikuwa hakijasajiliwa hata kwenye mwongozo kiliwekwa kimagumashi, ndio maana HESLB hawakutoa mkopo kwa wanafunzi. Baada ya wakubwa kufanya rafu kikapata usajili, ila sasa limezuka zengwe jipya. Kwa bahati mbaya sijui hata mtu mmoja anayesoma KIU.

Nowadays kila kitu ni business as usual my friend!
 
Hapa, wakulaumiwa ni wazazi ambao wanawapeleka watoto wao kusoma huko. Ina maana hapa JF hakuna aliesoma pale G'mboto ktk Chuo cha Kampala Int Uni? Au mnajificha?

Wako hata hapa ila wamejificha
 
Back
Top Bottom