KWA WANAOTAKA KU-RESIT NECTA 2013 NA WENYE KUJIUNGA NA A LEVEL, soma hapa!

Umeona eh! sasa fanya mpango shawishi mtu/watu wa kuingia (kuhamia f.6 au kujiunga na f.5) A level Itende High school upate kamisheni (sh alf 15 kwa kila mmoja).

kaka ipilimo a.k.a Miki tumekupata
 
Umeona eh! sasa fanya mpango shawishi mtu/watu wa kuingia (kuhamia f.6 au kujiunga na f.5) A level Itende High school upate kamisheni (sh alf 15 kwa kila mmoja).

mi nakultea rseters
 
Bofya hapa utapata matokeo ya Itende Secondary https://www.jamiiforums.com/matokeo2012/data/s0741.htm Kumbe ni yaleyale tu, hakuna mtakachowasaidia zaidi ya biashara

Ninachoa amini jitihada zinafanyika sana, cha msingi mwanafunzi naye ajiandae kusoma kwa bidii. Tutaendelea kutangaza, kwa sababu kuwepo kwa shule-serikali au binafsi ni uwepo wa wanafunzi. Wanafunzi nao wapo wa aina tofauti-wanaopenda kusoma na kufanya bidii, na wale wanao pelekwa shule ili mradi mzazi kuondoa lawama za kutosomesha, mara nyingi hawa hata wakifundishwa vipi huishia 0 au amefaulu div.4. Lakini ni wajibu wa walimu na wazazi kuhakikisha wanafunzi wao wanafaulu. Shule yetu hujitahidi kuhakikisha wanafunzi wanafaulu, lakini inapotokea wakafeli, kama ilivyo kwa shule zingine-private na government zipo sababu nyingi zenye vyanzo tofauti tofauti. Kwahiyo kama mwanafunzi amefeli mtihani ulio pita haimanishi akirudia hatafanikiwa, cha msingi ajue wapi ali teleza last time, INFACT kila mwanafunzi aliyefeli au kupata division fulani anajua kilicho mfikisha hapo!
THANKS na karibu Itende High school
 
shule iko wap, vp hostel zina ulinzi mzuri??

SHULE IKO MBEYA MJINI, NYUMA YA KAMBI YA ITENDE JKT, hostel ni kama bweni na ziko ndani ya eneo la shule. Tunapendekeza mzazi kumleta hostel kama uwezo upo! ulinzi ni mzuri kwakuwa WALEZI wa wanafunzi wa hostel ambao pia ni walimu wnanakaa jirani na shule.
 
Hakuna shule bomu kama Itende

sawa mkuu, ni maoni yako tu! kama kweli ni bomu isingekuwepo, waombe radhi wazazi wanasomesha watoto wao itende high school, na kama ni matokeo mabaya, niambie kwa takwimu za mtihani wa mwaka jana je shule ni ya mwisho kitaifa au kimkoa? kwanini usiseme shule zingine ambazo hazifanya vema hasa zile 10 za mwisho, au hata zile ambazo hata hazina division 1, au zenye majina makubwa lakini matokeo bora ya itende? kama huna mapenzi na Itende high school, basi nyamaza! Karibu Itende High school, kuna siku wewe au ndugu, rafiki na kizazi chako wataomba kazi hapa shule, so tusikatishane tamaa! ni ushauri tu!
 
Hapa hapanifai bora niende chuo cha ualimu na FOUR YANGU YA 27

Sawa mkuu, ni chaguo lako, ukipata sifa kama hiyo ualimu unaenda! kila mtu ana njia zake za kuelekea mafanikio, kwani kuna wengine hata kama ana daraja 1 au 2 huenda pia ualimu nk
 
Umeona eh! sasa fanya mpango shawishi mtu/watu wa kuingia (kuhamia f.6 au kujiunga na f.5) A level Itende High school upate kamisheni (sh alf 15 kwa kila mmoja).

kuna ukweli ninao kama watano hivi
 

kuhusu hostel mkuu acha unafki hsmna lolote.....vijana wanapiga ulanzi mabatini kama vibaka angali ni wanafunzi wa bweni. Tanagaza biashara kaka shule upande wa pori mshaiwekea wigo tulete vijana wetu? Vipi wanafunzi wenu dizain ya Fidealoso mnawalekebisha vipi now days?
 
Mkuu IPILIMO ingekua vizuri kama ungetoa matokeo ya ujumla kwa Shule yako maana zingine zimefaulisha kwa kuanzia divisheni 4 isije kuwa na shule yako imo!

Itende high school, imegusa kila division! hata kama ni kwauchache, hii ina maanisha kuna external factors, ila walimu na program za shule ni nzuri, sema labda hatuna program ya kuwachuja wasio jiweza, msisitizo ni kuona hata asiyeweza tujitahidi angalau atoke angalau na DIV 4, NA atleast anayejitahidi angalau apate credit za kutosha!
Karibu Itende High School
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…