Blaros kida
Member
- Jan 29, 2013
- 50
- 2
Hapa hapanifai bora niende chuo cha ualimu na FOUR YANGU YA 27
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo maana yake,hakuna kulala!
Umeona eh! sasa fanya mpango shawishi mtu/watu wa kuingia (kuhamia f.6 au kujiunga na f.5) A level Itende High school upate kamisheni (sh alf 15 kwa kila mmoja).
shule iko wap, vp hostel zina ulinzi mzuri??
Bofya hapa utapata matokeo ya Itende Secondary https://www.jamiiforums.com/matokeo2012/data/s0741.htm Kumbe ni yaleyale tu, hakuna mtakachowasaidia zaidi ya biashara

Mbaka kieleweke!Kweli Mkuu hakuna kulala
Bofya hapa utapata matokeo ya Itende Secondary https://www.jamiiforums.com/matokeo2012/data/s0741.htm Kumbe ni yaleyale tu, hakuna mtakachowasaidia zaidi ya biashara
shule iko wap, vp hostel zina ulinzi mzuri??
Hakuna shule bomu kama Itende
Hapa hapanifai bora niende chuo cha ualimu na FOUR YANGU YA 27
Umeona eh! sasa fanya mpango shawishi mtu/watu wa kuingia (kuhamia f.6 au kujiunga na f.5) A level Itende High school upate kamisheni (sh alf 15 kwa kila mmoja).
SHULE IKO MBEYA MJINI, NYUMA YA KAMBI YA ITENDE JKT, hostel ni kama bweni na ziko ndani ya eneo la shule. Tunapendekeza mzazi kumleta hostel kama uwezo upo! ulinzi ni mzuri kwakuwa WALEZI wa wanafunzi wa hostel ambao pia ni walimu wnanakaa jirani na shule.
Mkuu IPILIMO ingekua vizuri kama ungetoa matokeo ya ujumla kwa Shule yako maana zingine zimefaulisha kwa kuanzia divisheni 4 isije kuwa na shule yako imo!