KWA WANAOTAKA KU-RESIT NECTA 2013 NA WENYE KUJIUNGA NA A LEVEL, soma hapa!

IPILIMO

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
1,819
Reaction score
801
Shule ya Itende High School, jijini Mbeya ina tangaza nafasi kwa wanaotaka kurudia mitihani yao ya kidato cha NNE 2013 (SAYANSI NA ARTS) kuwa tumeanza kuandikisha, nafasi zipo! PROGRAMU NI KAMA IFUATAVYO;

  1. WENYE CREDIT 1, 2 AU 3 WATAANDIKISHWA KAMA form 5-2013/2014, huku wenye credit 1 au 2 watapewa program maalumu ya kuwawezesha kurudia mitihani ya O level-Nov.2013 ili wapate credit zote 3 za kuwafanya wafanye mitihani ya A level- 2015 au 2016. Michepuo iliyopo ni HGL, HGK. HKL & HGE. UKIWAHI SASA KUJIANDIKISHA HAPA SHULE UTAPUNGUZIWA ADA. UTALIPA SH 300,000 BADALA YA SH 400,000. (UKITAKA BWENI UNAONGEZA 500,000 KWA MWAKA). PIA KUNA NAFASI ZA KUHAMIA KIDATO CHA 6 LWA PUNGUZO HILOHILO LA ADA!
  2. KWA WASIO NA CREDIT KABISA, TUNAWAPOKEA KAMA PRIVATE CANDIDATES LAKINI WANAINGIA KUSOMA NA WENZAO WA SHULE (kwa taratibu za kishule), mzazi au mwanafunzi Anaweza kuchagua AIDHA kuanzia kidato cha 3 au cha 4. HAWA WATAFANYA/RESIT MITIHANI YA KIDATO CHA NNE KAMA PRIVATE CANDIDATES/WATAHINIWA BINAFSI. PUNGUZO KUBWA LA ADA KWAO KWA MWAKA KAMA WANAFUNZI WETU, NI SH 250,000 KWA MWAKA badala ya sh 400,000 ( kama bweni ataongeza 500,000/= kwa mwaka) na (huku waki enjoy pliviledge zote za kiuanafunzi).

Kwa maelezo tafadhari wasiliana nasi 0754734009.
 
Tumekupata Mkuu IPILIMO, kufa kufaana1

Umeona eh! sasa fanya mpango shawishi mtu/watu wa kuingia (kuhamia f.6 au kujiunga na f.5) A level Itende High school upate kamisheni (sh alf 15 kwa kila mmoja).
 
Tanzania kweli nchi ya MIRADI/MRADI, sasa na hawa chap chap wameshafikiria pesa!
 
Kwa ushaur 2 hawa wadogo zangu nawashaur ki2 kimoja wachague fan waitakayo kama n law,acc, na faculty nyingine,wakaanze certificate mpaka degree. Kuresit wanapoteza muda asee
 
Wakipata madegree na ma phd yao mtarudi hapa jamvini na kusema wana elimu za kuunga unga. Watu hamchelewi
 
Kwa ushaur 2 hawa wadogo zangu nawashaur ki2 kimoja wachague fan waitakayo kama n law,acc, na faculty nyingine,wakaanze certificate mpaka degree. Kuresit wanapoteza muda asee

mkuu ni sawa ila kama ana hata D mbili unampeleka wapi zaidi ya kurisiti
 
Mkuu kamchezo ka kuresit ni kabaya aisee, kaliwahi kutaka kunitoa roho na wakati mi nilikuwa jembe ile mbaya darasani.
 
wewe ni mmojapo wa waliohusika kufelisha watoto wetu nini? Maana watu sasa hivi bado tunalia na matokeo wewe tayari solution unayo. Ndo hivyo tena ni kama watengeneza majeneza, ama kweli kufa kufaana
 
Mkuu IPILIMO ingekua vizuri kama ungetoa matokeo ya ujumla kwa Shule yako maana zingine zimefaulisha kwa kuanzia divisheni 4 isije kuwa na shule yako imo!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu IPILIMO nikikuletea vichwa 10 vp utanipooza?
 
Last edited by a moderator:
Kwa ushaur 2 hawa wadogo zangu nawashaur ki2 kimoja wachague fan waitakayo kama n law,acc, na faculty nyingine,wakaanze certificate mpaka degree. Kuresit wanapoteza muda asee

Kama ana D moja afanyaje?
 
Shule ya Itende High School, jijini Mbeya ina tangaza nafasi kwa wanaotaka kurudia mitihani yao ya kidato cha NNE 2013 (SAYANSI NA ARTS) kuwa tumeanza kuandikisha, nafasi zipo! PROGRAMU NI KAMA IFUATAVYO;

  1. WENYE CREDIT 1, 2 AU 3 WATAANDIKISHWA KAMA form 5-2013/2014, huku wenye credit 1 au 2 watapewa program maalumu ya kuwawezesha kurudia mitihani ya O level-Nov.2013 ili wapate credit zote 3 za kuwafanya wafanye mitihani ya A level- 2015 au 2016. Michepuo iliyopo ni HGL, HGK. HKL & HGE. UKIWAHI SASA KUJIANDIKISHA HAPA SHULE UTAPUNGUZIWA ADA. UTALIPA SH 300,000 BADALA YA SH 400,000. (UKITAKA BWENI UNAONGEZA 500,000 KWA MWAKA). PIA KUNA NAFASI ZA KUHAMIA KIDATO CHA 6 LWA PUNGUZO HILOHILO LA ADA!
  2. KWA WASIO NA CREDIT KABISA, TUNAWAPOKEA KAMA PRIVATE CANDIDATES LAKINI WANAINGIA KUSOMA NA WENZAO WA SHULE (kwa taratibu za kishule), mzazi au mwanafunzi Anaweza kuchagua AIDHA kuanzia kidato cha 3 au cha 4. HAWA WATAFANYA/RESIT MITIHANI YA KIDATO CHA NNE KAMA PRIVATE CANDIDATES/WATAHINIWA BINAFSI. PUNGUZO KUBWA LA ADA KWAO KWA MWAKA KAMA WANAFUNZI WETU, NI SH 250,000 KWA MWAKA badala ya sh 400,000 ( kama bweni ataongeza 500,000/= kwa mwaka) na (huku waki enjoy pliviledge zote za kiuanafunzi).

Kwa maelezo tafadhari wasiliana nasi 0754734009.

Bofya hapa utapata matokeo ya Itende Secondary https://www.jamiiforums.com/matokeo2012/data/s0741.htm Kumbe ni yaleyale tu, hakuna mtakachowasaidia zaidi ya biashara
 
Wajinga ndio waliwao! mm sishauri mtu arudie mitihani kama anajijua uwezo wake ni mdogo ndio sababu akafeli mtihani wa kwanza. kwanini mtu asitafute kitu kingine cha kufanya baada ya watawala kumdanganya kupitia shule za kata kwamba amefika form four ilhali yuko darasa la saba bado!
 
Back
Top Bottom