Kwa wanaotaka kuanza kufanya biashara na Hamjui muanzaje

Naomba kuuliza, katika ile hali umesimliwa biashara flani na watu au mtu, mda huo huo ukawa na shauku ya kutaka kuifanya hiyo biashara, na kikawa ni kitu kinasumbua sana akili kwa kutamani kufanya, je hapo unapaswa ufanye maamzi ya kufanya hiyo biashara uliyosimliwa kwasababu tiari umekua na shauku ya kufanya? Au unatakiwa uwaze kingine unachoweza kuona ni sahihi kwako, samahani kwa hilo
Shauku inabidi uwe nayo ukishafanya research baada ya kuhadithiwa na make sure aliyekuhadithia na yeye anafanya hiyo biashara la sivyo utajua hujui

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Umeongea vizuri sana, Ila nadhani hipo applicable mijini, sisi tulio vijijini huku au miji midogo tufanyeje?
Formula za biashara huwa sawa maeneo yote muhimu tu katika biashara epuka

copy and paste,Formula ni zile zile zimetofautiana katika ku apply tu,mfano wa Mjini

anaweza anza na 1 2 3 4 5, wewe wa kijijini ukaanza na 5 4 3 2 1 wa sehemu nyingine

akaanza na 4 1 2 3 5 yani inategemea na nature ya wateja wa eneo husika wanataka nini

biashara hatufanyi au hatuendeshi tunavyotaka,tunaiendesha wanavyotaka wateja...
 
Binafsi ni mfanyabiashara wa kawaida kabisa lakini sikuwahi waza hata siku 1 nitakuja kuwa mfanyabiashara

Ninachojua mimi ndoto zangu ni kuwa Pilot au Hacker (IT MZURI KABISA) ila ktk ndoto zote mbili ya Pilot

Ndio ilifia pale form four, Hii nyingine nayo iliendelea vyema kbsa hadi ilipokuja kufa na kusambaratika

Baada ya kuonja kidogo sana hela za biashara na uhuru wa maisha binafsi nikaona kwenye I.T ntakuja

lea watoto wa watu maana ile kazi haina tofauti na Wanajeshi,Nikamuachia Mungu vyeti na ajira aliyonbariki nayo

Sikuwahi kuwaza fanya biashara kabisa kabisa na ni kitu ambacho sikuwa hata nimekitamani kabisa kusema ukweli.

Lakini niseme jambo 1 kwa mtu unaetaka kuanza kufanya biashara,Kwamba ANZA ki ukweli sina neno naweza elezea kwa urefu au kusimulia kwa undani zaidi ya kusisitiza na kukwambia Tii hiyo sauti iliyo ndani yako na u ANZE.

Mafanikio ya kwanza kwa mtu yeyte anaefanya biashara hata yule muuza kahawa wa mtaji wa 5000 au muuza karanga wa mtaji wa 10,000 au mwingine yeyote unaemjua wewe,Fanikio la kwanza ni

"KUANZISHA BIASHARA"

Kuanzisha biashara ni 1 ya mafanikio ya 1 kabisa kwa mfanyabiashara yeyote yule,achana na Faida pesa,wateja,kujulikana,nk ila moja ya mafanikio makubwa sana kwenye biashara ni kuweza kuianza.

Hatu ukifa leo tayari upo ktk kundi la wafanyabiashara,mfanyabiashara ni mtu yeyote anaefanya biashara maana yake wewe kuweza kuianza tayari umeshafanikiwa kuwa ktk kundi la wafanyabiashara.

Watu wengi ambao hawajaanza biashara hupenda sana kusema wanahitaji vitu viwili wakiamini kwa kuwa navyo hivyo tayari umetoboa kibiashara (wanajidanganya sana).

Mtu anakwambia sianzi biashara kwanza natafuta MTAJI, mwingine mtaji anao anakwambia siwezi anza biashara kwasababu bado sijapata LOCATION nzuri.

"MTAJI na LOCATION ni vitu viwili muhimu sana kwa Mfanyabiashara na sio Muanza Biashara", naomba nirudie

"MTAJI na LOCATION ni vitu viwili muhimu sana kwa Mfanyabiashara na sio Muanza Biashara

MTAJI

Ni bidhaaa unazoweka katika biashara zako ili kuzizungusha upate pesa,sasa kwa mtu unaetaka kuanza biashara leo wewe ni mpya bado hujui nini wateja wanahitaji na nini hawahitaji. Ndio maana tunasema biashara ni kamari.

Kufungua duka kwa kusema unatupia milioni 10+ sijui 2+ sijui 1+ ndio kwanza umefungua leo,hiyo ni akili mbaya sana ya kupoteza. Kwanini unapoteza,kwasababu umenunua na kuanza na mzigo mkubwa wa wateja usiojua mahitaji yao.

LOCATION

Ni eneo zuri ambalo wateja "wako" huweza kukufikia kwa urahisi, nimewekea neno "wako" funga na fungua semi,Maana yake ni nini? unapotafuta location nzuri ni lazima tayari uwe na wateja na sio tu wateja ila uwe na wateja "wako"

Huku mabarabarani kila mtu ni mteja wa mtu flani,usitegemee kufungua biashara yako pale njia panda wanapovunjia nazi wachawi kila mtu anapita kitakua kigezo cha wewe kuuza sana,"unajidanganya"

Location nzuri hutafutwa baada ya kujua una wateja wengi wa aina gani na wanaotokea sehemu gani ndipo tunaposema nataka location ya aina flani.Huwezi tu kukurupuka kufungua duka la kuuza biblia pembeni ya kanisa ukiamini ndio utauza sana biblia,unajidanganya!

Nani anaendaga kanisani hana biblia,au ni nani kashamaliza ibada akumbuke kuna kununua biblia? sio kila location ni sahihi kwa biashara unayotaka ifungua. Hivyo basi swala la location

Ni kwa ajili ya wale ambao wanataka rahisisha huduma kwa wateja walionao tayari waliofanikiwa watengeneza.

Leo hii kuna mtu anafanya biashara ya ONLINE ametulia ndani kwake anapost bidha zake mtandaoni, "Huyu tayari anafanya biashara ila hajui location ya wapi afungue biashara yake.

Kila akipost kitu anapokea mteja wa Dar SEHEMU AMBAZO WATEJA WAKE WALIOPO DAR hutokea kwa wingi ni

1.Magomeni mapipa wateja 3
2.Kariakoo wateja 7
3.Manzese wateja 20
4.Tip top wateja 30
5.Urafiki wateja 16
6.Mbezi mwisho 1
7.Makumbusho 1
8.Ubungo 2

Huyu mtu unahisi akitaka fungua duka biashara yake atafute frem ya wapi yani mtaa upi? ni rahisi hata wewe kumchagulia wapi ni sahihi kwa biashara yake.

Lakini tumejua wapi ni sahihi kwa biashara yake kwasababu "anafanya biashara" ameshaanza biashara,tofauti na wewe ambae hujaianza biashara.

Ok fine assume huyu muuza vitu online ndio wewe sasa unataka kufungua biashara hiyo hyo anayofanya huyu mwenzako.

Una mtaji wako mzuri kabisa
Una hela za frem safi kabisa

Mnadanganyana na mpenzi wako/marafiki,madalali Frem kali sana imepatkana mbezi mwisho Stand pale Watu wanapita kuingia na kutoka 24hrs

umefika umeikagua kweli iko sehemu nzuri,barabarani (kama wengi mlivyokaririshana barabarani ndio kwenye biashara),nk Ukaona Fresh ngoja nilipe,kwahasira umelipa kodi 12month,Tia Mzigo 10+ ndaniiii...

Halafu kila siku wateja wako wanakuja kama nilivyoandika hapo juuu Mbezi mwisho mteja m 1,unakaa wiki,mwezi,miezi siku ukiuza sanajumapili wateja wa 3 au wa 4...

Unalalamika biashara mbaya wakati ulisema LOCATION ni nzuri,biashara mbaya vipi sasa wakati upo location nzuri?

Sasa unapata picha kuwa kumbe ili uweze kufanikiwa katika biashara wewe ambae huja anza kabisa biashara ni lazima Uanze kufanya hiyo biashara unayoiwaza na kuifikiria.

Kama huja anza hiyo biashara ondoa wazo la MTAJI na LOCATION hivyo vitu sio kwa ajili yako ni kwa ajili wa wafanyabiashara.

Watu wengi hupokea ushauri wanaopewa wafanyabiashara wakati wao hawafanyi biashara,do not apply formula wanazotumia Wafanyabiashara wakati unaanza biashara,Utapoteza.

Nina mengi ya kuandika kwenu ambao hamjakata shauri kuanza biashara,nina Mengi sana ila namalizia kwa kuwambia Anzeni biashara mawazo yanayopita kichwani na moyoni mwako ni sahihi kabisa Yatiii na kisha uanze.

CONTROLA
Kuna Kipindi Ulikuwa Tapeli Mkuu.
Ulitafuna Mbususu ya binti humu ukala hela yake na ukamsingizia magono.

Umeacha?
tuanzie hapo...
 
Nimeyakubali haya madini[emoji3578][emoji3578]
 
Natafuta mkopo/ grant/ funder wa kuniwezesha tsh,milioni 6 kurejesha ndani ya miezi mitano nicheki whatsap0755846814
 
NIONgezee 2017 wakati magu kaingia biashara zikapoteza mwelekeo wa kawaida baadhi ya maeneo nikachukua kibunda kusaka location mpya na research....nikakutana na mmalawi mwanafunzi wa phd anaelekea rwanda masomoni alitoka likozo kwenye story nkamwambia nafanya research ya kufungua atwi au kuhamishia biashara niliyonayo katka mengi tuliyoongea akaniambia kama ni mfanya biashara na tayari unayo ni lazima kuinvest katika research maaana una kitu cha kupoteza..taa IKAWAKa kichwani...akaendelea kama unaanza huna cha kupoteza maana biashara inayoanza kuna vya kupoteza vingi mpaka isimame....na katika kupoteza ndio unajifunza na kujishape...
Binafsi ni mfanyabiashara wa kawaida kabisa lakini sikuwahi waza hata siku 1 nitakuja kuwa mfanyabiashara

Ninachojua mimi ndoto zangu ni kuwa Pilot au Hacker (IT MZURI KABISA) ila ktk ndoto zote mbili ya Pilot

Ndio ilifia pale form four, Hii nyingine nayo iliendelea vyema kbsa hadi ilipokuja kufa na kusambaratika

Baada ya kuonja kidogo sana hela za biashara na uhuru wa maisha binafsi nikaona kwenye I.T ntakuja

lea watoto wa watu maana ile kazi haina tofauti na Wanajeshi,Nikamuachia Mungu vyeti na ajira aliyonbariki nayo

Sikuwahi kuwaza fanya biashara kabisa kabisa na ni kitu ambacho sikuwa hata nimekitamani kabisa kusema ukweli.

Lakini niseme jambo 1 kwa mtu unaetaka kuanza kufanya biashara,Kwamba ANZA ki ukweli sina neno naweza elezea kwa urefu au kusimulia kwa undani zaidi ya kusisitiza na kukwambia Tii hiyo sauti iliyo ndani yako na u ANZE.

Mafanikio ya kwanza kwa mtu yeyte anaefanya biashara hata yule muuza kahawa wa mtaji wa 5000 au muuza karanga wa mtaji wa 10,000 au mwingine yeyote unaemjua wewe,Fanikio la kwanza ni

"KUANZISHA BIASHARA"

Kuanzisha biashara ni 1 ya mafanikio ya 1 kabisa kwa mfanyabiashara yeyote yule,achana na Faida pesa,wateja,kujulikana,nk ila moja ya mafanikio makubwa sana kwenye biashara ni kuweza kuianza.

Hatu ukifa leo tayari upo ktk kundi la wafanyabiashara,mfanyabiashara ni mtu yeyote anaefanya biashara maana yake wewe kuweza kuianza tayari umeshafanikiwa kuwa ktk kundi la wafanyabiashara.

Watu wengi ambao hawajaanza biashara hupenda sana kusema wanahitaji vitu viwili wakiamini kwa kuwa navyo hivyo tayari umetoboa kibiashara (wanajidanganya sana).

Mtu anakwambia sianzi biashara kwanza natafuta MTAJI, mwingine mtaji anao anakwambia siwezi anza biashara kwasababu bado sijapata LOCATION nzuri.

"MTAJI na LOCATION ni vitu viwili muhimu sana kwa Mfanyabiashara na sio Muanza Biashara", naomba nirudie

"MTAJI na LOCATION ni vitu viwili muhimu sana kwa Mfanyabiashara na sio Muanza Biashara

MTAJI

Ni bidhaaa unazoweka katika biashara zako ili kuzizungusha upate pesa,sasa kwa mtu unaetaka kuanza biashara leo wewe ni mpya bado hujui nini wateja wanahitaji na nini hawahitaji. Ndio maana tunasema biashara ni kamari.

Kufungua duka kwa kusema unatupia milioni 10+ sijui 2+ sijui 1+ ndio kwanza umefungua leo,hiyo ni akili mbaya sana ya kupoteza. Kwanini unapoteza,kwasababu umenunua na kuanza na mzigo mkubwa wa wateja usiojua mahitaji yao.

LOCATION

Ni eneo zuri ambalo wateja "wako" huweza kukufikia kwa urahisi, nimewekea neno "wako" funga na fungua semi,Maana yake ni nini? unapotafuta location nzuri ni lazima tayari uwe na wateja na sio tu wateja ila uwe na wateja "wako"

Huku mabarabarani kila mtu ni mteja wa mtu flani,usitegemee kufungua biashara yako pale njia panda wanapovunjia nazi wachawi kila mtu anapita kitakua kigezo cha wewe kuuza sana,"unajidanganya"

Location nzuri hutafutwa baada ya kujua una wateja wengi wa aina gani na wanaotokea sehemu gani ndipo tunaposema nataka location ya aina flani.Huwezi tu kukurupuka kufungua duka la kuuza biblia pembeni ya kanisa ukiamini ndio utauza sana biblia,unajidanganya!

Nani anaendaga kanisani hana biblia,au ni nani kashamaliza ibada akumbuke kuna kununua biblia? sio kila location ni sahihi kwa biashara unayotaka ifungua. Hivyo basi swala la location

Ni kwa ajili ya wale ambao wanataka rahisisha huduma kwa wateja walionao tayari waliofanikiwa watengeneza.

Leo hii kuna mtu anafanya biashara ya ONLINE ametulia ndani kwake anapost bidha zake mtandaoni, "Huyu tayari anafanya biashara ila hajui location ya wapi afungue biashara yake.

Kila akipost kitu anapokea mteja wa Dar SEHEMU AMBAZO WATEJA WAKE WALIOPO DAR hutokea kwa wingi ni

1.Magomeni mapipa wateja 3
2.Kariakoo wateja 7
3.Manzese wateja 20
4.Tip top wateja 30
5.Urafiki wateja 16
6.Mbezi mwisho 1
7.Makumbusho 1
8.Ubungo 2

Huyu mtu unahisi akitaka fungua duka biashara yake atafute frem ya wapi yani mtaa upi? ni rahisi hata wewe kumchagulia wapi ni sahihi kwa biashara yake.

Lakini tumejua wapi ni sahihi kwa biashara yake kwasababu "anafanya biashara" ameshaanza biashara,tofauti na wewe ambae hujaianza biashara.

Ok fine assume huyu muuza vitu online ndio wewe sasa unataka kufungua biashara hiyo hyo anayofanya huyu mwenzako.

Una mtaji wako mzuri kabisa
Una hela za frem safi kabisa

Mnadanganyana na mpenzi wako/marafiki,madalali Frem kali sana imepatkana mbezi mwisho Stand pale Watu wanapita kuingia na kutoka 24hrs

umefika umeikagua kweli iko sehemu nzuri,barabarani (kama wengi mlivyokaririshana barabarani ndio kwenye biashara),nk Ukaona Fresh ngoja nilipe,kwahasira umelipa kodi 12month,Tia Mzigo 10+ ndaniiii...

Halafu kila siku wateja wako wanakuja kama nilivyoandika hapo juuu Mbezi mwisho mteja m 1,unakaa wiki,mwezi,miezi siku ukiuza sanajumapili wateja wa 3 au wa 4...

Unalalamika biashara mbaya wakati ulisema LOCATION ni nzuri,biashara mbaya vipi sasa wakati upo location nzuri?

Sasa unapata picha kuwa kumbe ili uweze kufanikiwa katika biashara wewe ambae huja anza kabisa biashara ni lazima Uanze kufanya hiyo biashara unayoiwaza na kuifikiria.

Kama huja anza hiyo biashara ondoa wazo la MTAJI na LOCATION hivyo vitu sio kwa ajili yako ni kwa ajili wa wafanyabiashara.

Watu wengi hupokea ushauri wanaopewa wafanyabiashara wakati wao hawafanyi biashara,do not apply formula wanazotumia Wafanyabiashara wakati unaanza biashara,Utapoteza.

Nina mengi ya kuandika kwenu ambao hamjakata shauri kuanza biashara,nina Mengi sana ila namalizia kwa kuwambia Anzeni biashara mawazo yanayopita kichwani na moyoni mwako ni sahihi kabisa Yatiii na kisha uanze.

CONTRO
 
Kwa wadau Wanaohitaji kuingia kwenye biashara hii ya kuuza sandle, slippers, Yebo yebo, Shoes nzuri nawakaribisha Sana ,hasa wadau wa mikoan miez hii biashara inahitajika Sana Ndo miez ya kuvaa Unaweza ukabuni kusambaza kwenye masoko,magulio, Stand,kuwasambazia kwenye maduka,kuuza kwenye vijiji huko fashion mbalimbali zinazitoka wanapenda Sana so wenye interesting tutazidi kupeana Mbinu Machimbo Mimi ntarahishisha Hilo
Dhumuni Ni Kukurahisishia Mteja Wetu Machimbo Kukuletea Bidhaa Bora Original Kwa Bei Nzuri , Fashion Mpya,Mpya Zinazotrend, dizain Tofaut Tofauti, Kama;
*YEBO YEBO
*SLIPPERS, SANDALS,
*Shoes & Clothes
*Tunatuma Mikoa Yote Kwa Oda
*Tunauza Kwa Rejareja na Jumla Kwa wafanyabiashara wa Dar na mikoani Tunatuma Kwa Oda
*Bei zinaanziaTsh 3000,5000,8000,10000,15000+
*Piga no 0716898393 , Whatsapp 0714994833
*Links Whatsapp group Uone update za dazain tofauti MHINA SUPER Discount SHOES SANDALS, SLIPPERS,YEBO YEBO, CLOTHES
 
Back
Top Bottom