Kwa Wanaotaka Kufanya Kazi Nje ya Tanzania

Kagalala

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2010
Posts
2,403
Reaction score
1,133
Napenda kutoa ushauri kwa mtu yeyote anayetaka kufanya kazi nje ya Tanzania (Middle East, Europe, USA, Australia na Asia) ni kwamba kazi zipo hila watanzania wengi hatuna utamaduni wa kutafuta kazi nje ya nchi yetu.
Napenda kutoa ushauri kwamba kama unaweza kuongea Kiingereza safi, Una degree yako safi, Una CV nzuri kazi zipo. Mimi nilibahatika kupata kazi moja kwa moja kutoka Africa na sasa hivi nashukuru Mungu naendelea vizuri na kazi yangu yenye heshima. Si lazima uwe na Elimu kubwa sana. Wenzetu wanaangalia uzoefu na uwezo wa kufanya kazi bila hata kuuliza cheti chako.
Mimi nilisoma hapo Ardhi University (siku hizo UCLAS).
Kwa wale wenye kutaka kupata kazi Middle East especially Qatar (tax free salary and good money) search mitando hii www.gulfTalent.com
www.careerstructure
naurkrigulf.com
OilCareers - The quick and easy way to the world's oil and gas jobs
UK job search: Find jobs, build a career. It

Kama link haikubali jaribu kusearch kawaida. Be confident. Wakenya, Wazambia, Wanigeria wapo wengi sana nje za nchi zao wanafanyakazi na wengi wamesoma University za nchini kwao.

Go for it.
 
I'm confused here!!
Kila kukicha tulioko nje ya nchi tunasemwa ooh mara rudini nyumbani. Bongo tambarare. Mambo yote bongo. Sasa inakuwaje unawataka wabongo walianzishe?
 
Mshahara wako sh ngapi?
Take home sh ngapi?
Nitarudi..
 
Kutafuta siku hizi ni mahali popote. Vijana tuchangamke sio kulalama kazi hamna wakati hatuzitafuti. Anuani hizoo kazi kwetu lakini tuwe na moyo wa uzalendo wa kujituma... huko majuu unachapa kazi sio excuses za kila siku. Na ukipata usisahau nyumbani!
 
Mkuu unachosema ni kweli hasa waarabu hawapendi kabisa kufanya kazi mbali na familia zao hasa kwenye visima vya mafuta ndo kazi za bure tu yaani. Mimi huku uarabuni nimeshaona wakenya 2 tu na wasudan kibao but wa Tanzania hola ni mshahara mzuri free of tax plus your good rotation.
 
Mshahara kiasi gani?
Ukweli ni kwamba mshahara wako inategemea na Elimu yako na Ujuzi wako. Kwa mfano Civil Engineer qualified with 10 years experience unapata $120,000 kwa mwaka tax free. Sasa hivi Qatar wanatafuta sana Engineers kwa ajili ya ujenzi wa World cup 2022
 
  • Thanks
Reactions: EMT
huko ni pa kutafuta mkuu lazima niungane nawe.asante kwa ushauri.
 
ngoja tutafute experience kwanza.....Mungu atujalie tufike huko
 
simshauri mtu kwenda Nchi za Uharabuni hawa jamaa washenzi sana..hawakosi kuanza kukugeuza ubwabwa,kukunyang'anya Passport yako,kukusumbua kwenye malipo yako,bima,maradhi,vyakula,na ukikwa unakula mbuzi katoriki basi kichwa chako ni haki yako na mambo mengine kibao..na washuri watu wa apply kwenye mashirika na makampuni yanayoeleweka yanatambulika kimataifa..
 
Mkuu acha kukatisha watu tamaa wewe unafikiri ukifanya kazi uarabuni unafanya kazi na kampuni uchwara kama ulizozoea za wababaishaji wabongo? Tangu lini mtu anafanya kazi ya engineering akalalama hivyo labda kama uhouse keeping hapo sawa. Msikatishwe tamaa na huyu mpuuzi asiyejua asemalo mimi mbona nimeajiriwa hapo hapo TZ na nazunguka nchi na nchi sijawahi kudhulumiwa mshahara wala passport yangu kuchukuliwa?
 
Shime ndugu yangu kwa kuwatia moyo wenzako kwani kuna wengine wenye moyo wa kwanini na yeye apate. Haya wenye vyeti vyao msizidi kusaga lami ya hapo posta kutwa nzima eti mnatafuta kazi, kazi za leo ni kushikana mkono na huyu ndugu yetu ameshatushika mkono tayari..........................!
 
I'm confused here!!
Kila kukicha tulioko nje ya nchi tunasemwa ooh mara rudini nyumbani. Bongo tambarare. Mambo yote bongo. Sasa inakuwaje unawataka wabongo walianzishe?
kaka nani aliyokuambia bongo ni tambarare? baki hukohuko ndugu, kama unarud uwe na mchongo tayari au ujipange kuja kujiajiri ukitegemea kuja kutafuta kazi utachacha huku, ooooh shauri yako,ni ushaur tu, uko nchi gani mkuu tupeane madili hayo nasi tukimbie huku
 
Naomba kufahamu life cost, gharama ya kulipia nyumba ikoje, na chakula je.
saavings ni kiasi gani baada ya kuoa na kulipia basic needs? bwana Kabalala
 
Last edited by a moderator:
I'm confused here!!
Kila kukicha tulioko nje ya nchi tunasemwa ooh mara rudini nyumbani. Bongo tambarare. Mambo yote bongo. Sasa inakuwaje unawataka wabongo walianzishe?

Nani kakusema na wewe banaaa. Rudi basi mbona ujarudi kama umesemwa.. Ukutane na vumbi na mgao wa umeme ndio utaona hiyo raha unayohadithiwaga
 
simshauri mtu kwenda Nchi za Uharabuni hawa jamaa washenzi sana..hawakosi kuanza kukugeuza ubwabwa,kukunyang'anya Passport yako,kukusumbua kwenye malipo yako,bima,maradhi,vyakula,na ukikwa unakula mbuzi katoriki basi kichwa chako ni haki yako na mambo mengine kibao..na washuri watu wa apply kwenye mashirika na makampuni yanayoeleweka yanatambulika kimataifa..

Only kama unaenda kufanya kazi za housegirl na houseboy. Sidhani kama mleta mada anazungumzia kazi aina hiyo.
 
Naomba kufahamu life cost, gharama ya kulipia nyumba ikoje, na chakula je.
saavings ni kiasi gani baada ya kuoa na kulipia basic needs? bwana Kabalala

Pesa yote itaishia kwenye kodi
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom