Napenda kutoa ushauri kwa mtu yeyote anayetaka kufanya kazi nje ya Tanzania (Middle East, Europe, USA, Australia na Asia) ni kwamba kazi zipo hila watanzania wengi hatuna utamaduni wa kutafuta kazi nje ya nchi yetu.
Napenda kutoa ushauri kwamba kama unaweza kuongea Kiingereza safi, Una degree yako safi, Una CV nzuri kazi zipo. Mimi nilibahatika kupata kazi moja kwa moja kutoka Africa na sasa hivi nashukuru Mungu naendelea vizuri na kazi yangu yenye heshima. Si lazima uwe na Elimu kubwa sana. Wenzetu wanaangalia uzoefu na uwezo wa kufanya kazi bila hata kuuliza cheti chako.
Mimi nilisoma hapo Ardhi University (siku hizo UCLAS).
Kwa wale wenye kutaka kupata kazi Middle East especially Qatar (tax free salary and good money) search mitando hii www.gulfTalent.com
www.careerstructure
naurkrigulf.com
OilCareers - The quick and easy way to the world's oil and gas jobs
UK job search: Find jobs, build a career. It
Kama link haikubali jaribu kusearch kawaida. Be confident. Wakenya, Wazambia, Wanigeria wapo wengi sana nje za nchi zao wanafanyakazi na wengi wamesoma University za nchini kwao.
Go for it.