Kwa Wanaotaka Kufanya Kazi Nje ya Tanzania

Kwa Wanaotaka Kufanya Kazi Nje ya Tanzania

Naomba kufahamu life cost, gharama ya kulipia nyumba ikoje, na chakula je.
saavings ni kiasi gani baada ya kuoa na kulipia basic needs? bwana Kabalala
Mkuu gharama za nyumba si kwamba ziko chini kama Tanzania lakini mshahara ni mzuri kukidhi kodi za nyumba. Nyumba inategemea kama ni single status au Married status. Kwa Qatar nyumba nzuri unapata kwa $1000 kwa mwezi. Waajiri wengi hasa makampuni ya Ujenzi (International) wanatoa nyumba katika package. Kwa Saudi Arabia makampuni mengi yanatoa nyumba mnakaa kama Camp hasa kama project hiko mbali na mji (hapo mama unamuacha Tz kwanza).
Chakula bei ni ndogo ukilinganisha na miji mingine kama London na New York.
Shule nashauri watafutie watoto shule nzuri Tanzania ambayo hiko top kwani mshahara ni mzuri kwa kulipia shule za Tanzania. Waajiri wengine wanatoa package ambayo wanawalipia watoto shule. Hii unabidi huwe kwenye senior level, like Senior Engineer, Senior Quantity Surveyor, Senior Architect, etc.
In short if you get the chance just take it my friend. Sijaona anayelalamika
 
Ngoja tutafute vyeti sasa jomba, ndio tagert zangu zilipo huko
 
Thanks
 
kaka nani aliyokuambia bongo ni tambarare? baki hukohuko ndugu, kama unarud uwe na mchongo tayari au ujipange kuja kujiajiri ukitegemea kuja kutafuta kazi utachacha huku, ooooh shauri yako,ni ushaur tu, uko nchi gani mkuu tupeane madili hayo nasi tukimbie huku

Kazi kwelikweli
 
inalipa sana kufanya nje
sema tu kukaa mbali na dunia uloizoea ndo tabu, vinginevyo swafii
 
Wakuu mi nakubaliana na mtoa mada. Uarabuni, hasa Dubai ni business hub, na maisha ni mazuri pia. Hakuna uswahili, kuna makampuni mengi ya kimataifa na watu wa mataifa mbalimbali. NI wakati sasa watanzania kupanua mawazo yetu na kufikiria nje wa mazingira yetu. Huwa natoa mfano huu kwa watu mbalimbali. Maisha yanaendana na uchumi wa mahali. Mfano Dar imeendelea kuliko Mtwara na ndio maana watu wengi tunapenda Dar na maisha uwezekano wa mtu kuishi vizuri Dar kuliko Mtwara ni mkubwa.

Watu mara nyingi wanafikiria kutoka upande wa gharama za maisha. Ni kweli, lakini bado mtu aliyeko kwenye sehemu ya gharama tunaona anamsaidia aliyeko mwenzake anayeona aishi penye gharama nafuu: Dar Vs Mtwara, Tanzanian families Vs diaspora.

Tukijaribu kuhusisha mfano huu na sehemu zilizoendelea basi tuchangamkie fursa za USA, UK, UAE, Scandinavia, n.k.

Mungu atubariki!
 
Naomba kufahamu life cost, gharama ya kulipia nyumba ikoje, na chakula je.
saavings ni kiasi gani baada ya kuoa na kulipia basic needs? bwana Kabalala

Mkuu inategemea mfano ukichagua highest status utapewa na nyumba ya kuishi humo free but most of the time utakuwa unazunguka from Rig to Rig na vaction kupata ni ngumu labda mwezi 1 kila baada ya miezi 4 but wakati uko job usafiri na chakula ni free hadi air ticket go and return ni free by a company. Other status hapa utakuwa unaishi kwenye Staff appartments za kampuni free throughout your job rotation most of the companies ziko hivyo.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu hebu naomba unifanyie tafiti kwenye sekta ya IT huko Qatar. Nina Higher Diploma in IT, CCNA, CCNP na OCP!
 
Mkuu shukrani,ntajaribu kufuatilia link za visima vya mafuta.mimi nina experiance ya miaka 7 in mining sector.
 
Lakini Uarabuni wamekaharibu sana kadada kangu, yaani wale jamaa wamelaaniwa, wanagonga nyuma na mbele!
 
Napenda kutoa ushauri kwa mtu yeyote anayetaka kufanya kazi nje ya Tanzania (Middle East, Europe, USA, Australia na Asia) ni kwamba kazi zipo hila watanzania wengi hatuna utamaduni wa kutafuta kazi nje ya nchi yetu.
Napenda kutoa ushauri kwamba kama unaweza kuongea Kiingereza safi, Una degree yako safi, Una CV nzuri kazi zipo. Mimi nilibahatika kupata kazi moja kwa moja kutoka Africa na sasa hivi nashukuru Mungu naendelea vizuri na kazi yangu yenye heshima. Si lazima uwe na Elimu kubwa sana. Wenzetu wanaangalia uzoefu na uwezo wa kufanya kazi bila hata
kuuliza cheti chako.
Mimi nilisoma hapo Ardhi University (siku hizo UCLAS).
Kwa wale wenye kutaka kupata kazi Middle East especially Qatar (tax free salary and good money) search mitando hii www.gulfTalent.com
www.careerstructure
naurkrigulf.com
OilCareers - The quick and easy way to the world's oil and gas jobs
UK job search: Find jobs, build a career. It

Kama link haikubali jaribu kusearch kawaida. Be confident. Wakenya, Wazambia, Wanigeria wapo wengi sana nje za nchi zao wanafanyakazi na wengi wamesoma University za nchini kwao.

Go for it.

kaka mimi mhasibu vipi naweza kupata kazi huko?
 
kaka nani aliyokuambia bongo ni tambarare? baki hukohuko ndugu, kama unarud uwe na mchongo tayari au ujipange kuja kujiajiri ukitegemea kuja kutafuta kazi utachacha huku, ooooh shauri yako,ni ushaur tu, uko nchi gani mkuu tupeane madili hayo nasi tukimbie huku

Kiranga anasema wabongo in the diaspora warudi na wewe unasema bongo njaa kali. Tumuamini nani?
 
simshauri mtu kwenda Nchi za Uharabuni hawa jamaa washenzi sana..hawakosi kuanza kukugeuza ubwabwa,kukunyang'anya Passport yako,kukusumbua kwenye malipo yako,bima,maradhi,vyakula,na ukikwa unakula mbuzi katoriki basi kichwa chako ni haki yako na mambo mengine kibao..na washuri watu wa apply kwenye mashirika na makampuni yanayoeleweka yanatambulika kimataifa..

Nenda kafanye kazi Vatican isiwe tabu!...maana Vatican hawageuzani nyuma!
 
Mkuu unachosema ni kweli hasa waarabu hawapendi kabisa kufanya kazi mbali na familia zao hasa kwenye visima vya mafuta ndo kazi za bure tu yaani. Mimi huku uarabuni nimeshaona wakenya 2 tu na wasudan kibao but wa Tanzania hola ni mshahara mzuri free of tax plus your good rotation.

hebu nivute kwa bluetooth basi.
 
Mimi pia sijawahi kupata shida. Kama unatafuta kazi ya housekeeping au house girl basi nashauri hata usijaribu sababu kuonewa kunakuwa rahisi tena sana. Lakini kama una elimu yako unatafuta kazi ya officer going up, hamna shida. Hizo agency zote alizoweka hapo zina julikana sana na ni za ukweli. Kama wewe ni mtu we development pia jaribu www.[B]devnet[/B]jobs.org/, www.[B]devex[/B].com/. You will not regret it na familia yako itakushukuru. Tusiogope kutoka nchini eti hiki wala kile. Jinsi unavyo jenga CV yako na kupata ujuzi ukija kusettle Tanzania net worth yako itakuwa juu ajabu. Hata kazi utakayokuja kupata hapa nchini ukirudi wa nje hawaonji mshahara wako. Mimi nilianza hivyo na sasa niko nchini kama consultant sababu watu wanahitaji ujuzi uliopo ndani ya kichwa changu. Hii inanifaa sana sababu napanga ratiba yangu kama mama na nina watoto wawili.
Tujifunza kupatiana encouragement, tusivunjane moyo. Watanzania tunaweza. Wewe unaweza one step at a time. Pata ujuzi halafu urudi kuimarisha nchi yako.
(samahani kwa kiswahili kibovu)
 
Back
Top Bottom