- Thread starter
- #21
Mkuu gharama za nyumba si kwamba ziko chini kama Tanzania lakini mshahara ni mzuri kukidhi kodi za nyumba. Nyumba inategemea kama ni single status au Married status. Kwa Qatar nyumba nzuri unapata kwa $1000 kwa mwezi. Waajiri wengi hasa makampuni ya Ujenzi (International) wanatoa nyumba katika package. Kwa Saudi Arabia makampuni mengi yanatoa nyumba mnakaa kama Camp hasa kama project hiko mbali na mji (hapo mama unamuacha Tz kwanza).Naomba kufahamu life cost, gharama ya kulipia nyumba ikoje, na chakula je.
saavings ni kiasi gani baada ya kuoa na kulipia basic needs? bwana Kabalala
Chakula bei ni ndogo ukilinganisha na miji mingine kama London na New York.
Shule nashauri watafutie watoto shule nzuri Tanzania ambayo hiko top kwani mshahara ni mzuri kwa kulipia shule za Tanzania. Waajiri wengine wanatoa package ambayo wanawalipia watoto shule. Hii unabidi huwe kwenye senior level, like Senior Engineer, Senior Quantity Surveyor, Senior Architect, etc.
In short if you get the chance just take it my friend. Sijaona anayelalamika