Kwa wanaotaka kujiua, soma hapa ujue namna ya kujizuia

Pole ndugu yangu... Kila nafsi itaonja umauti, sisi sote kwake tutarejea, kikubwa ni kuzidisha maombi mpendwa wetu apate pumziko.
Wakati unamjibu yule dada pale juu labda lugha uliyoitumia tu ndiyo mkaanza kutupiana maneno.kiukweli nakubaliana wengi wanaojiua ni kutokuwa na khofu au na Imani na Mungu imeondoka.Kwa waislam kwanza kitendo cha kujiua tu dhambi kubwa sasa sijui utaenda kumueleza nini Muumba wako,yaani kuua au kujiua.Afadhali hata kule kuua kwengine kupo bila kukusudia ila kujiua mara Nyingi umekusudia najitoa uhai.Ni khofu na Mungu watu imewaondoka ndiyo wanafikia hatua mpaka kumkufuru na kusema Huyu Mungu haya matatizo amenipa mimi tu.Ukiona una matatizo kweli tembelea hayo Maeneo utapata elimu ya nafsi(saikolojia) hospital na pia tembelea makaburini uwe unafanya japo ziara.kwa sababu ukisoma historia za watu waliopita na wengine tunao kwenye jamii tunayoishi wamepitia matatizo tena makubwa ila waliwezaje kuyahimili ni kumuamini tu Mungu hata kama siyo waumini ile chembe tu ya khofu inatosha.Sasa mtu asipoamini matatizo ni moja ya mitihani ya Dunia huyo unafikiri akishapatwa na baadhi ya mitihani atawezaje kuvumilia ni lazima kuyakwepa yeye anajua kifo ni njia pekee tu.Na angejua tu hiyo kujiua pia siyo mwisho wala asingejaribu.Watu Imani imetutoka na ndiyo maana matukio ya kujiua yanaongezeka.
 
Ni kwl mkuu ukifika 40s na hujakumbwa na jaribu hilo mshukuru Mungu sana kuna vitu vinaumiza sana ktk haya maisha kuna majaribu mazito sana napita na nimewahi kupita nikafiria hadi kujiua NIlichofikiri ni mama yangu,kuna siku aliniambia Mwanangu nakutegemea sana!...hiyo kauli MTT,baba yangu Ndg na familia yangu.... Kwamf..mama yangu nikiguswa na jani tu anaanza kuumwa...nikawaza nikalia nikifa hataweza kuibeba hiyo huzuni...Namshukuru Mungu anaeendelea kunitia nguvu...ila SAA nyingine tusijudge watu sana unapata matukio..unalia chozi linakata,matatizo tena na tena yanapandiana,unaomba Mungu unaona kama hasikii....duniani unakosa dira ni mawingu tu unayaona!Mungu ni mwema...anaendelea kunitia nguvu...
 
Kuna mda naumia sana, naona kila kitu kiko kinyume na mimi, mawazo yananijia lakini nikifikiri yale yote niliyo ahidi watu. Nikifikiri nitakavyoonekana coward ndio naumia zaidi.
Daima wafariji watu wako wa karibu.
 

Nimekuelewa na nimefarijika kiasi
Hii hali inanitokea mara kwa mara ya kutaka kujiua.
 
Wadau hii hali ya kutaka kujiua nnayo
Sioni furaha ktk maisha yangu, kila siku maisha yanazidi kuwa mabaya, siwez kujutia uhamuzi huu
Zipo sababu nyingi zinazonisukuma kufanya hivi
Nimebakiza siku chache za kutafakari kifo changu
Mkuu ghalama za maisha zinakwenda kushuka, kama wanawake wapo wengi sana siku hizi, pesa imeanza kushikika, bia bei inashuka, sasa unasababu gani muhimu zaidi inayokusababisha upange kutuachia wenyewe hii nchi tukufu ya Mama?
 
Kuna mda naumia sana, naona kila kitu kiko kinyume na mimi, mawazo yananijia lakini nikifikiri yale yote niliyo ahidi watu. Nikifikiri nitakavyoonekana coward ndio naumia zaidi.
Daima wafariji watu wako wa karibu.
Unayo nafasi ya kushinda. Daima ukiamini katika kushindwa utazaa kushindwa Mkuu Underwood, na ukiamini katika kushinda na huku ukiweka juhudi na maarifa utazalisha ushindi.
 
Mkuu ujumbe mzuri , Ila umzingua hapo kwenye dini na nguruwe tu.
 
Mwanadamu ana Roho,nafsi na mwili,mwili ni umbo hili la nje linalotuwezesha kugusa mambo ya dunia,nafsi inagusa hisia,mawazo,kicheko,kilio,huzuni n.k. na roho ni utu wa ndani wa mwanadamu unao tusukuma kuabudu kumpenda Mungu n.k. Kifo ni kutengana Kati ya mwili na roho na roho zote ni mali ya Mungu huruhusiwi kutoa roho yako(kujiua) au kutoa roho ya jirani yako(kuua). Yawezekana unapitia magumu suluhisho siyo kujiua wanadamu wote tunapitia magumu kwa namna tofauti .Kujiua ni tiketi ya moja kwa moja kwenda Motoni Kifo siyo mwisho wa maisha.Kuna maisha baada ya Kifo yanaweza kuwa magumu na mabaya kuliko hayo unayoyapitia duniani kulingana na ulivyomaliza safari yako hapa duniani.
 
The next is me sidhani kama huu mwezi utaisha,kwaherini wana jf

Mwanangu usijiue kuna jamaa wanauza k vant bei rahisi ndogo 3000 na kubwa 6000 ukijiua hutokuta k vant huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…