Kwa wanaotaka kujiua, soma hapa ujue namna ya kujizuia

Acha ujinga.. Unadhani kujimaliza ndio tatizo, fikiria matatizo yako ukijiua uzito kiasi gani unaenda kwa wale wanaokutegemea, kiasi gani unawaacha na majonzi..

Mtume s.a.w anasema, usijilinganishe na wajuu yako, jilinganishe na wachini yako... Utaona neema za mola kwako..
Kama ni maradhi kuna watu wana maradhi ya hatari huko mahospitalini, kama ni dhiki, kuna watu wan dhiki za kila rangi we mpaka simu ya kuchat jf unayo
Kama ni stress za mapenzi, umechukuliwa demu/mke ndio we ukijiua na kikojoleo chake unaondoka nacho!!? [emoji848], we unakufa huku duniani watu wanaendelea kuruka nae vizuri tu
Pambana maadui zako siki wakuheshimu
Kama ni kufirisika, kuna watu wamefirisika si mchezo..

Kwangu kujiua ni wazo la kifala zaidi kuliko mawazo yoote, labda mtu aliyerogwa..
Mfikirie mzazi wako yupo, fikiria wanao kama wapo n.k

Shida tumeumbiwa sisi, hiyo ni mitihani tu na lazima tuishinde.

Achana kabisa na huo ufala kaka.

Jama jama jama, mie najitolea kwa yeyote yule mwenye fikra za kujiua, kumsaidia kadri niwezavyo... Uwe na ndugu jamaa au rafiki usisite kunicheki
Kama hujawahi kufikia hatua ya kujiua usiite ufala.,

unaweza usinielewe ila kiufupi ndio hivyo
People are not crazy
 
Nimevumilia miaka nane dadangu nadhani inatosha
Sina jipya la kukuambia
Maumivu ya miaka nane ni makubwa and ur struggle is real

kuna gumu jingine lolote litakushinda baada ya hayo magumu mazito uliyopitia tayari

unaweza jaribu kukaa muda kidogo ili uone maisha yatakuwaje iwapo utakaa tu bila kujaribu kupambana tena lakini uishi tu.,

i js want to tell u nilishafik hio point i knoww
Ur feelings are valid ur struggle is real and believe me u wont be the same again
Jipe nafasi kuacha kupambania hilo suala tulia tu kula na kulala basi...
 
Baada ya hayo maamuz yako. Ulijisikiaje kumuona mtoto anakusubir uamke mcheze?. Ulijisikiaje kutaka kuikimbia familia hasa mwanao kwa njia ya kujiua? Ulitaka kuiacha familia yako kwenye hali gani?
Atleast ulikuwa na mke mtafutaj pia.

Mnaowaza kujiua wote hamna hofu ya Mungu. Haijalishi unapitia tatizo kubwa kiasi gan. Mara nyingi inakuwa MUDA WAKO HAUJAFIKA.
Hasa ukiwa mwanaune PAMBANA USIKATE TAMAA.

Acheni kuwa na mawazo ya kijinga.
All the best kwa wote mnaokuwa na mawazo kama hayo.
Usiseme hawana hofu ya Mungu
U DONT KNOW HOW MUCH AND HOW LONG THEY HAVE PRAYED NA HAWAJAPATA MAJIBU YAO!.

USIITE UJINGA WKT HUJAWAHI FIKA HIO POINT
WATU SIO WAJINGA
HUJUI MAPITO YAO

Shukuru kama umepata majibu ya maombi yako OVER
 
I js want to appreciate the struggle ya watu wote wanaotaka kujitoa uhai..
I FEEL UR PAIN..
UR STRUGGLE IS REAL
UNAPAMBANA FOR SOMETHING

Havitaenda bure
Jipe muda kidogo uone
Shida tayari unaijua unahofia shida zaidi au?.kufeli tayari unakujua unahofia kufeli wkt tyr ushafeli au?

tulia tu jipe muda kutulia usipambane kwanza
Tulia tu
Shukuru tu kwa kuamka na kuvuta hewa na jua usoni kwako
Yatosha kwa kuanzia kwenye kutulia
 
STEP 1
Usidharau au kukejeli hisia za mtu aliefikia hatua ya kujiua
TRUST ME WHEN I TELL U..KAPAMBANA SANA
TO THE POINT ANAONA THE STRUGGLE IS STRONGER THAN DEATH...

Ndugu yangu appreciate ur struggle ur pain and accept umeshindwa kwa mbinu ulizotumia
Unahitaji mbinu mpya
Na mojawapo ni kutulia na kutofanya chochote kuhusu hilo
JS REST JAPO KIDOGO
 
Bro. Kila mtu ana matatizo.
Alaf nimesema hivyo pia nilishaexperience kitu kama hiko. Nikajakugundua kuwa nilitaka kufanya kitu kibaya sana na ningewakosea wengi.

Ndo maan nikasema haijalishi unapitia kubwa kiasi gani. Ishu ni kutokata tamaa yatapita tu.
Its not abt kuwakosea wengine tu

WHAT ABOUT YOU??!
The STRUGGLE IS ABOUT YOU!!
 
Aliyesema dunia ni uwanja wa fujo hakukosea kabisa, kuna vurugu nyingi sana hapa duniani na nyingi zinahitaji ujasiri sana ila hakuna kukata tamaa ni kupambana nazo mpaka kieleweke.
 
Acha ujinga.. Unadhani kujimaliza ndio tatizo, fikiria matatizo yako ukijiua uzito kiasi gani unaenda kwa wale wanaokutegemea, kiasi gani unawaacha na majonzi..

Mtume s.a.w anasema, usijilinganishe na wajuu yako, jilinganishe na wachini yako... Utaona neema za mola kwako..
Kama ni maradhi kuna watu wana maradhi ya hatari huko mahospitalini, kama ni dhiki, kuna watu wan dhiki za kila rangi we mpaka simu ya kuchat jf unayo
Kama ni stress za mapenzi, umechukuliwa demu/mke ndio we ukijiua na kikojoleo chake unaondoka nacho!!? [emoji848], we unakufa huku duniani watu wanaendelea kuruka nae vizuri tu
Pambana maadui zako siki wakuheshimu
Kama ni kufirisika, kuna watu wamefirisika si mchezo..

Kwangu kujiua ni wazo la kifala zaidi kuliko mawazo yoote, labda mtu aliyerogwa..
Mfikirie mzazi wako yupo, fikiria wanao kama wapo n.k

Shida tumeumbiwa sisi, hiyo ni mitihani tu na lazima tuishinde.

Achana kabisa na huo ufala kaka.

Jama jama jama, mie najitolea kwa yeyote yule mwenye fikra za kujiua, kumsaidia kadri niwezavyo... Uwe na ndugu jamaa au rafiki usisite kunicheki
Allah akuhifadhi kaka. Naomba mdm bro umsaidie
 
Kama hujawahi kufikia hatua ya kujiua usiite ufala.,

unaweza usinielewe ila kiufupi ndio hivyo
People are not crazy
Haijalishi majanga kiasi gani hilo ni wazo la kifala.. Wengi tu tumepitia majanga kiasi unawaza umauti ndio solution, ila ukiweka akili vizuri unakuja kujua ni ufala, siropoki, nazungumza ninachokijua..

Wazo la kujiua ni ufala.
 
Mmh..Makaveli...
 
Mmh..Makaveli...
Kuna watu wanaweza kunitafsiri vibaya ila ninachokisema ni ukweli 100%

matatizo tumeumbiwa sisi, kufa sio kumaliza tatizo ni kama kukimbia mtihani wa taifa tu, halaf ukae mtaani, hatujui huko tuendako tunaenda kukutana na nini yawezakana ikawa balaa kuliko hili la dunia, na huko ni point of no return,
Lazima tuwe strong lazima, anaglia wale wa chini yako utapata imani, usijilinganishe tu na aliyojuu yako utaona mungu anakuonea bure, unaumwa nenda hospital katizame wagonjwa, zunguka mtaani uone watu wana dhiki kinyama lakini wanaishi..

Solution ya tatizo ni kulikubali kwa mikono miwili kisha upambane nalo na sio kulikimbia(kujiua)
 
Kabisa nilisema naye hayo ila naomba mchek na wewe tumsaidie. Huku kuna 2nd chances mpka countless chances lakn huko kujiua na ni kukimbia kusikojuliakana and there wont be second chance.
Tujiulize ukiondoka duniani je huko unapokwende je mola wako atakua radhi na wewe ukikutana nae? Je atakusaidia maana uliona kifo ndio cha kukwepa haya matatizo? Unajua adhabu yake itakuaje? Allah atuongoze
 
Nilishamcheki.

Amin, inshaallah
 
Poleni sana mliopitia hio hali.
Mdau kalonji kaongea point nzuri sana....ondoka hilo eneo, hamia eneo lingine tofauti na ulilokuwa umekaa kufurusha hayo mawazo.....

Niliumia roho sana siku nilipomuona yule mdada kajinyonga pale Ubungo darajani nadhani ni miaka ya 2008 au 2009.
Kabeba mtoto mgongoni, huku yeye kajinyonga (mtoto alikuwa hai na amelala usingizi)
So sad!!!
 
SubhanAllah. Amekata tamaa mpaka mwisho
 
Haijalishi majanga kiasi gani hilo ni wazo la kifala.. Wengi tu tumepitia majanga kiasi unawaza umauti ndio solution, ila ukiweka akili vizuri unakuja kujua ni ufala, siropoki, nazungumza ninachokijua..

Wazo la kujiua ni ufala.
Ngoja nikuache
Labda siku ukiwa tight ama mtu wakaribu yako yakimfika utaelewa

people js want someone to understand their pain we unaona ni upuuzi
 
Back
Top Bottom