mwenye shamba
JF-Expert Member
- May 31, 2015
- 978
- 1,766
ndugu yangu dunia inamengi,tangu siku hiyo sijawahi kuwaza kujiua,na Mungu alivyo mwema nilikaa muda kidogo tu wakaja wachina kijijini kuwekeza kwenye maswala ya dhahabu nikajiegesha kwa muda wa miezi kama mi4 hivi.Sasa siku moja nikabet sportpesa jackpot nikawin match 11 nikawa nimepata mil 4 ndo nikaamua kujiajiri.Hongera na pole sana kiongozi hakika Mungu anakupenda sana that's why hakutaka ufe mkimbilie yeye utakuwa salama