Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
Kwa ma senior wa science wa hapa Jf.
Mimi ni mfuga kuku mzuri tu na nimzoefu lakini sijawahi kuona kuku anakojoa!!
Nasemea kuku kwa sababu ndo ndege nilioanza kuwafuga tangu utotoni mwangu.
Pamoja na kwamba kuku ni kiumbe anayekunywa maji pia lakini sijawahi kuona mkojo wake.
Sungura kwa kipindi cha muda mfupi tu nimemfuga unywaji wake wa maji si sana lakini lazima utaona mkojo wake ama akikojoa kabisa.
Ifahamike kwamba hatuwezi kusoma wote wakuu hivyo tunaomba ninyi mliobahatika kusoma mtutoe tongotongo.
Je ni zipi sababu za msingi zinazo wafanya ndege wasikojoe ili hali maji wanakunywa na matunda huwa wanakula kama matikiti nk?
Karibuni.