Antennah
JF-Expert Member
- Oct 14, 2015
- 6,754
- 8,750
UmemalizaINAWEZEKANA MFUMO WA UTOAJI TAKA MWILI WA NDEGE UMEUNGANISHWA KWA PAMOJA YANI MKOJO NA HAJA KUBWA NDUGU
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UmemalizaINAWEZEKANA MFUMO WA UTOAJI TAKA MWILI WA NDEGE UMEUNGANISHWA KWA PAMOJA YANI MKOJO NA HAJA KUBWA NDUGU
Kkauliza swali zuri sana na kunamdau hapo post no 6 kajibu vizurii binafsi nimeptMkiambiwa msome masomo yanayoeleweka kwenye combination mnakimbilia kusoma Masomo yenye H yaani History ndani kama HGK,HGL nk ona sasa mnatusumbua na maswali ya kijinga
Shida humu nijukwaa huru so wajinga wapo pia ila umeuliza swali zur alafu wengne hatujasoma kabisa mie binaMkuu wajinga kama huyu huwa hawakosekani kabisa.Hivi kama wote tungesoma Biology,chemisrty nk nani angefuga au kulima au nani ange wachunga ama kulima hayo mashamba
💪Ndio uhalisia mkuu jf nimejifunza mengi mno siwezi elezea tangu mwaka 2013 hadi leo najua na limenisaidia sana hili jukwaa.
Hawa watu ni wakuwapotezea tu mimi huwa ni ki google kitu mwishoni namaliza jamii forum ili nije nipate na mawazo ya wachangiaji
Kwani yale mavi ya kuku hayana mkojo ndani yake?Kwa ma senior wa science wa hapa Jf.
Mimi ni mfuga kuku mzuri tu na nimzoefu lakini sijawahi kuona kuku anakojoa!!
Nasemea kuku kwa sababu ndo ndege nilioanza kuwafuga tangu utotoni mwangu.
Pamoja na kwamba kuku ni kiumbe anayekunywa maji pia lakini sijawahi kuona mkojo wake.
Sungura kwa kipindi cha muda mfupi tu nimemfuga unywaji wake wa maji si sana lakini lazima utaona mkojo wake ama akikojoa kabisa.
Ifahamike kwamba hatuwezi kusoma wote wakuu hivyo tunaomba ninyi mliobahatika kusoma mtutoe tongotongo.
Je ni zipi sababu za msingi zinazo wafanya ndege wasikojoe ili hali maji wanakunywa na matunda huwa wanakula kama matikiti nk?
Karibuni.
Taarifa:-Kwa ma senior wa science wa hapa Jf.

Kwani mkuu ulijuaje kuku hakojoi?😀😀Kwa ma senior wa science wa hapa Jf.
Mimi ni mfuga kuku mzuri tu na nimzoefu lakini sijawahi kuona kuku anakojoa!!
Nasemea kuku kwa sababu ndo ndege nilioanza kuwafuga tangu utotoni mwangu.
Pamoja na kwamba kuku ni kiumbe anayekunywa maji pia lakini sijawahi kuona mkojo wake.
Sungura kwa kipindi cha muda mfupi tu nimemfuga unywaji wake wa maji si sana lakini lazima utaona mkojo wake ama akikojoa kabisa.
Ifahamike kwamba hatuwezi kusoma wote wakuu hivyo tunaomba ninyi mliobahatika kusoma mtutoe tongotongo.
Je ni zipi sababu za msingi zinazo wafanya ndege wasikojoe ili hali maji wanakunywa na matunda huwa wanakula kama matikiti nk?
Karibuni.
sayansi ya kuleta mvua kwa ku inject Silver iodide kwenye mawingu ipo ila kwa nchi za kiafrica hatuna utajiri wa kufanya hivyo ila Dubai wameshajaribuOoh,basi wanasayansi wamemuumba ndege kwa ubora mahususi sana,wanastahili pongezi nyingi,
Maana kwa mpangilio huo aliyeumba ndege wote ni viumbe wengine bilashaka ni msomi haswa wa sayansi, na bilashaka viumbe wote wameumbwa na wanasayansi kwa ukamilifu haswa,
Na mimi nina swali ,kwanini wanasayansi hawaleti mvua zakutosha kipindi hikii ilhali wanajua wakulima tunategemea mvua wakati huu wa masika!! au huko juu kuna itilafu ya mitambo yao yakuleta mvua? na kwanini wanasayansi hawapunguzi makali ya jua,limekuwa kali sana!......