Kwa wanasayansi wabobezi.Ni zipi sababu za msingi zinazomfanya kuku asikojoe ili hali maji ana kunywa?

Kwa wanasayansi wabobezi.Ni zipi sababu za msingi zinazomfanya kuku asikojoe ili hali maji ana kunywa?

Mkiambiwa msome masomo yanayoeleweka kwenye combination mnakimbilia kusoma Masomo yenye H yaani History ndani kama HGK,HGL nk ona sasa mnatusumbua na maswali ya kijinga
Kkauliza swali zuri sana na kunamdau hapo post no 6 kajibu vizurii binafsi nimept
Mkuu wajinga kama huyu huwa hawakosekani kabisa.Hivi kama wote tungesoma Biology,chemisrty nk nani angefuga au kulima au nani ange wachunga ama kulima hayo mashamba
Shida humu nijukwaa huru so wajinga wapo pia ila umeuliza swali zur alafu wengne hatujasoma kabisa mie bina
Ndio uhalisia mkuu jf nimejifunza mengi mno siwezi elezea tangu mwaka 2013 hadi leo najua na limenisaidia sana hili jukwaa.

Hawa watu ni wakuwapotezea tu mimi huwa ni ki google kitu mwishoni namaliza jamii forum ili nije nipate na mawazo ya wachangiaji
💪
 
Kwa ma senior wa science wa hapa Jf.

Mimi ni mfuga kuku mzuri tu na nimzoefu lakini sijawahi kuona kuku anakojoa!!

Nasemea kuku kwa sababu ndo ndege nilioanza kuwafuga tangu utotoni mwangu.

Pamoja na kwamba kuku ni kiumbe anayekunywa maji pia lakini sijawahi kuona mkojo wake.

Sungura kwa kipindi cha muda mfupi tu nimemfuga unywaji wake wa maji si sana lakini lazima utaona mkojo wake ama akikojoa kabisa.

Ifahamike kwamba hatuwezi kusoma wote wakuu hivyo tunaomba ninyi mliobahatika kusoma mtutoe tongotongo.

Je ni zipi sababu za msingi zinazo wafanya ndege wasikojoe ili hali maji wanakunywa na matunda huwa wanakula kama matikiti nk?

Karibuni.
Kwani yale mavi ya kuku hayana mkojo ndani yake?
 
Taarifa:-
Mbuni akibanwa na mav..i anakun..ya na akitaka kukojoa anakojoa kwa muda wake kama wanyama wengine.
 
Acheni MUNGU aitwe MUNGU. Huu uzi unaonyesha kabisa jinsi MUNGU alivyo Top Top scientist.

Kila kiitu amekiumba kwa namna yake kwa jinsi yake.
 
Labda nikuulize kwanini wanyama wanakojoa ? Kama issue ni kutoa maji wanayokunywa si yanaweza kuchanganyikana na kinyesi ? (Which is what happens)
 
Chuguza kinyesi cha kuku mara tu anapokunya utaona vimajimaji; huo ndiyo mkojo wake!
 
Kwa ma senior wa science wa hapa Jf.

Mimi ni mfuga kuku mzuri tu na nimzoefu lakini sijawahi kuona kuku anakojoa!!

Nasemea kuku kwa sababu ndo ndege nilioanza kuwafuga tangu utotoni mwangu.

Pamoja na kwamba kuku ni kiumbe anayekunywa maji pia lakini sijawahi kuona mkojo wake.

Sungura kwa kipindi cha muda mfupi tu nimemfuga unywaji wake wa maji si sana lakini lazima utaona mkojo wake ama akikojoa kabisa.

Ifahamike kwamba hatuwezi kusoma wote wakuu hivyo tunaomba ninyi mliobahatika kusoma mtutoe tongotongo.

Je ni zipi sababu za msingi zinazo wafanya ndege wasikojoe ili hali maji wanakunywa na matunda huwa wanakula kama matikiti nk?

Karibuni.
Kwani mkuu ulijuaje kuku hakojoi?😀😀

Btw kuku/ndege hawakojoi lkn maji wanayokunywa yanabakia mwilin. Kias kdg cha maji kinatoka kwa njia ya kinyesi km uric acid.
Kuongezea, hawana kibofu cha mkojo mkuu. 😀😀kama uliwah kuchinja kuku umenielewa
 
ni swali lakimfumo na uchanganuzi wake ni mrefu ndugu..kwa kifupi kinyesi cha kuku kimechanganyikana na majimaji tunaweza kukikiweka kama mkojo pia kabla hujajiuliza hilo vipi ulijiuliza kama wewe una filigisi au kuku anafigo ukipata majibu ya hilo tayari utajua ni swala la kimfumo mkuu
 
Ooh,basi wanasayansi wamemuumba ndege kwa ubora mahususi sana,wanastahili pongezi nyingi,

Maana kwa mpangilio huo aliyeumba ndege wote ni viumbe wengine bilashaka ni msomi haswa wa sayansi, na bilashaka viumbe wote wameumbwa na wanasayansi kwa ukamilifu haswa,

Na mimi nina swali ,kwanini wanasayansi hawaleti mvua zakutosha kipindi hikii ilhali wanajua wakulima tunategemea mvua wakati huu wa masika!! au huko juu kuna itilafu ya mitambo yao yakuleta mvua? na kwanini wanasayansi hawapunguzi makali ya jua,limekuwa kali sana!......
sayansi ya kuleta mvua kwa ku inject Silver iodide kwenye mawingu ipo ila kwa nchi za kiafrica hatuna utajiri wa kufanya hivyo ila Dubai wameshajaribu
 
Wabobezi wamekujibu kitaalamu sana ila niongezee ndo maana mbolea ya kuku ni kali zaidi ya wanyama wengine kama binadamu,ngombe sababu haja kubwa na ndogo vimeshanganyika yaani kunakuwa na organic matter na uric acid hiyo uric acid baadae ukiweka shambani ikipata maji inavunjika inakuwa urea ambapo ni sawa na hii mbolea tunayotumia shambani tunaiita sulphate of ammonia
 
Back
Top Bottom