Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,734
- 5,750
Tokea lini ulishakuwa na busara ya kujadili masuala ya msingi?Kutwa kucha sisi tunalia na ccm nyinyi ndio watetezi wao wanapotezwa watu nyinyi vigeregere wanapigwa watu risasi nyinyi shangwe mijitu inanunua wabunge kwenu safi tu Leo uje kulalamika kweli?
Masalia ya mwenda zake kwa sasa mnaishi kama misukule isiokua na mlezi poleniTokea lini ulishakuwa na busara ya kujadili masuala ya msingi?
Nafikiri unatania ndugu yangu. Kama tutaendelea kuikumbatia chama hiki chakavu cha CCM, tutasubiri sana. Ni mataifa machache yaliyobahatika kuwa na mali asili kama Tanzania lakini kama wahenga walivyowahi kusema...a fool and his money are soon parted!..Sgr, tieglers, ndege, ndio muarubaini wa matatizo yetu. Uchumi utapaa miradi hiyo ikamilika. Hapa Kazi Tu.
Nafikiri unatania ndugu yangu. Kama tutaendelea kuikumbatia chama hiki chakavu cha CCM, tutasubiri sana. Ni mataifa machache yaliyobahatika kuwa na mali asili kama Tanzania lakini kama wahenga walivyowahi kusema...a fool and his money are soon parted!
Ungezungumzia hili mada yako ingependeza sana, na kwa mara ya kwanza nigetambua kwamba sasa akili zimerudi kichwani baada ya kuzikodisha mahala.hatusikii mkikakati ya kukomboa maskini wa taifa hili.
Umeandika kama unatania, lakini ukweli wenyewe ndio huo uliouweka wazi.Mkuu umesema kweli, watanzania ni watu wa ajabu kweli. Kila mtu ni mliaji tu; wanasiasa wanalia tu, wananchi na vilio tupu, wasomi wetu nao midomo juu kulia tupu, great thinkers wa jf nao ni vilio tu. Wewe mleta mada nawe umeona tatizo, ukaja jf kulia bila kuwa hata na chembe ndogo ya kusidia kutatua tatizo!
Kama ni hivyo basi tuendeleeni kulia matatizo yetu labda utafika wakati nature itasaidia kuyatatua.
Sawa tunakubali CCM chama kandamizi. Hebu sasa tuambie ni chama gani mbadala tunaweza kukiamini.CCM yako na mfumo kandamizi kuwafanya wanasiasa wengi wanafiki...
Tukisema Katiba mpya itaondoa hawa wanasiasa uchwara hamtak mnatuona kama wahaini au foreigner... it's going to be very tough.
Tatizo ni kwamba CCM imeng'ang'ania madaraka na haiko tayari kutoa nafasi kwa chama chochote kuonesha uwezo na sifa ambazo zimekuwa nudra kwa CCM. Utajuaje uwezo wa mchezaji kama hauko tayari kumpa hata nafasi ya kuingia uwanjani?Sawa tunakubali CCM chama kandamizi. Hebu sasa tuambie ni chama gani mbadala tunaweza kukiamini.
Tatizo sio wewe kama wewe. Tatizo ni uwezo wako mdogo wa kupambanua mambo. Akili ndogo uliyonayo ndio ndio inakufanya uwe zuzu wa kutupwa.Ungezungumzia hili mada yako ingependeza sana, na kwa mara ya kwanza nigetambua kwamba sasa akili zimerudi kichwani baada ya kuzikodisha mahala.
Toa mifano ya mikakati hiyo tuanze kujadili mada yako.
Mada yako nzima unalalamika tu, bila hata kusema ni kipi unakilalamikia mbali ya hao viongozi unaolalamika juu yao.
Taifa lina wachumi wa ajabu sana...Sgr, tieglers, ndege, ndio muarubaini wa matatizo yetu. Uchumi utapaa miradi hiyo ikamilika. Hapa Kazi Tu.
Mkuu upo serious kabisa chama kama Chadema kipewe nafasi kuongoza nchi yetu? Hata kama ni ni kuwapa nafasi waonyeshe uwezo?Tatizo ni kwamba CCM imeng'ang'ania madaraka na haiko tayari kutoa nafasi kwa chama chochote kuonesha uwezo na sifa ambazo wewe huna tena? Utajuaje uwezo wa mchezaji kama hauko tayari kumpa hata nafasi ya kuingia uwanjani?
Hata pale wananchi wanapoamua kuwapa wewe kwa kutumia vyombo vya dola unakataa kata kata maamuzi yao kwenye sanduku la kura? Uko tayari kuua au kuiba uchaguzi mradi hao wengine hawapati nafasi ya kuonesha uwezo wao?
Mh?Wanasiasa wanao lobby tusipate chanjo ya Covid wakati madhara yake tumesha yaonja.