Kwa wanasiasa tulionao, Tanzania hatuwezi kusonga mbele

Kwa wanasiasa tulionao, Tanzania hatuwezi kusonga mbele

Masalia ya mwenda zake kwa sasa mnaishi kama misukule isiokua na mlezi poleni
Narudia tena, lini ulishakuwa na busara ya kujadili masuala ya msingi? Bichwa lako limejaa funza. Kama ulimdanganya Mbowe kuwa Pambalu atashinda ubunge we una akili?
 
Taifa letu limetokea kuwa la ajabu sana tumekuwa na wanasisa wa ajabu ambao hawana mikakati ya kuwasaida wananchi.

Wananchi nao wamekuwa watu wa ajabu wanadanganywa kama watoto wadogo ambao wakipewa zawadi ya peremende basi wao husahau shida zote.

Sijaona mwanasiasa ambae yupo serious na hali duni ya maisha wanayoishi watanzania. Watanzania wana maisha duni, kula kwa tabu, ajira za tabu, elimu duni na zisizo na tija.

Lakini wanasiasa wanawadanya wananchi kwa kuweka Concert za music na kuwalaghai wananchi kuwa watawasaidia huku tukiwa hatusikii mkikakati ya kukomboa maskini wa taifa hili.
Kama yule Zulumati wa NSSF
 
Tatizo sio wewe kama wewe. Tatizo ni uwezo wako mdogo wa kupambanua mambo. Akili ndogo uliyonayo ndio ndio inakufanya uwe zuzu wa kutupwa.

Kuna mtu kalalamika? Ulitaka uambiwe kuwa kuna upungufu wa madarasa na ukosefu wa maji safi ndio upate mwanga wa kuchangia?
EeeenHeee!

'Chagu' Bhwanaah!

Kwa hiyo nawe sasa unajihesabu kuwa mtu mahiri wa kutoa mada fikirishi hapa JF?

Nimekusifia kidogo tu hapo mara hii kichwa umekivimbisha?

Kwa hiyo ukipata kiongozi wa kuondoa "upungufu wa madarasa na ukosefu wa maji safi" hapo ndipo utakuwa umeridhika na huyo kiongozi hata kama anakuja nyumbani kwako na kukuamru umwachie kitanda yeye na mke wako?
 
SGR, Stieglers, ndege, ndio muarubaini wa matatizo yetu. Uchumi utapaa miradi hiyo ikamilika. Hapa Kazi Tu.
Jokakuu mchango wako mzuri lakini bila kufanya MAPINDIZI YA KILIMO hakuna MAENDELEO ambayo yatastawi.ni kijilisha upepo tu.
 
Umepigia jibu yale ninayokuambia kila siku, hauko vizuri kichwani.
 
Siku ambayo atatokea kiongozi ambaye Dira yake itakua KILIMO Cha kisasa basi mjue Ana Nia ya dhati ya kuleta MAENDELEO zaidi ya hapo mtaendelea kupata wanasiasa njaa.
 
Mwanasiasa mmoja alikuwa akitudanganya maendeleo hayana chama kisha akasema tatizo "connection"
Mungu alipoona neno CONNECTION inatumika kupitia 7ya,makonda kwanini iwe tabu AKA MCONNECT YEYE

Nimesema uongo ndugu zangu
 
Jokakuu mchango wako mzuri lakini bila kufanya MAPINDIZI YA KILIMO hakuna MAENDELEO ambayo yatastawi.ni kijilisha upepo tu.

..asante sana.

..unajua niliwahi kwenda ktk duka moja Ulaya nikakuta mashuka yameandikwa " made from egyptian cotton. "

..nilipokuja kuchunguza kuhusu pamba yetu nikaambiwa wenzetu kama Sudan na Egypt wanazalisha pamba nyingi kwa ekari moja kuliko Tanzania.

..Nakubaliana na wewe kwamba Tanzania haiwezi kuendelea bila kukiboresha kilimo chetu.

..Tatizo letu ni kwamba wakulima, wafugaji, na wavuvi wetu, wanazalisha kwa kiwango cha chini mno.
 
SGR, Stieglers, ndege, ndio muarubaini wa matatizo yetu. Uchumi utapaa miradi hiyo ikamilika. Hapa Kazi Tu.
Tofautisha uchumi wa serikali na uchumi wa mtu mmoja mmoja. Hayo uliyotaja yatainua uchumi wa serikali.
 
Inasikitisha sana MBUNGE anapata MSHAHARA wa Sh.Mil.11 na KIINUA MGONGO cha Sh.Mil.200 na Hakatwi KODI na huo Mshahara na Kiinua Mgongo ni KODI za WANANCHI leo Anasimama MBUNGE na Kudai Wananchi Wakatwe KODI ya UZALENDO .Kama ni UZALENDO anzeni nyinyi WABUNGE wenye MISHAHARA ya MAMILIONI Kukatwa Pesa na Ziende kwenye MIRADI ya MAENDELEO Majimboni Kwenu Huo Utakuwa UZALENDO.Wananchi Wanyonge na Masikini Mnawarundikia UTITIRI wa KODI nyinyi MNASTAREHE kwa MISHAHARA MINONO na MAGARI Mazuri Hebu Waoneeni Huruma Wapiga KURA
 
Back
Top Bottom