Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,734
- 5,750
- Thread starter
-
- #21
Narudia tena, lini ulishakuwa na busara ya kujadili masuala ya msingi? Bichwa lako limejaa funza. Kama ulimdanganya Mbowe kuwa Pambalu atashinda ubunge we una akili?Masalia ya mwenda zake kwa sasa mnaishi kama misukule isiokua na mlezi poleni
Kama yule Zulumati wa NSSFTaifa letu limetokea kuwa la ajabu sana tumekuwa na wanasisa wa ajabu ambao hawana mikakati ya kuwasaida wananchi.
Wananchi nao wamekuwa watu wa ajabu wanadanganywa kama watoto wadogo ambao wakipewa zawadi ya peremende basi wao husahau shida zote.
Sijaona mwanasiasa ambae yupo serious na hali duni ya maisha wanayoishi watanzania. Watanzania wana maisha duni, kula kwa tabu, ajira za tabu, elimu duni na zisizo na tija.
Lakini wanasiasa wanawadanya wananchi kwa kuweka Concert za music na kuwalaghai wananchi kuwa watawasaidia huku tukiwa hatusikii mkikakati ya kukomboa maskini wa taifa hili.
EeeenHeee!Tatizo sio wewe kama wewe. Tatizo ni uwezo wako mdogo wa kupambanua mambo. Akili ndogo uliyonayo ndio ndio inakufanya uwe zuzu wa kutupwa.
Kuna mtu kalalamika? Ulitaka uambiwe kuwa kuna upungufu wa madarasa na ukosefu wa maji safi ndio upate mwanga wa kuchangia?
Wewe kweli umevurugikiwa akili!Narudia tena, lini ulishakuwa na busara ya kujadili masuala ya msingi? Bichwa lako limejaa funza. Kama ulimdanganya Mbowe kuwa Pambalu atashinda ubunge we una akili?
Jokakuu mchango wako mzuri lakini bila kufanya MAPINDIZI YA KILIMO hakuna MAENDELEO ambayo yatastawi.ni kijilisha upepo tu.SGR, Stieglers, ndege, ndio muarubaini wa matatizo yetu. Uchumi utapaa miradi hiyo ikamilika. Hapa Kazi Tu.
Umepigia jibu yale ninayokuambia kila siku, hauko vizuri kichwani.EeeenHeee!
'Chagu' Bhwanaah!
Kwa hiyo nawe sasa unajihesabu kuwa mtu mahiri wa kutoa mada fikirishi hapa JF?
Nimekusifia kidogo tu hapo mara hii kichwa umekivimbisha?
Kwa hiyo ukipata kiongozi wa kuondoa "upungufu wa madarasa na ukosefu wa maji safi" hapo ndipo utakuwa umeridhika na huyo kiongozi hata kama anakuja nyumbani kwako na kukuamru umwachie kitanda yeye na mke wako?
Mungu alipoona neno CONNECTION inatumika kupitia 7ya,makonda kwanini iwe tabu AKA MCONNECT YEYEMwanasiasa mmoja alikuwa akitudanganya maendeleo hayana chama kisha akasema tatizo "connection"
Jokakuu mchango wako mzuri lakini bila kufanya MAPINDIZI YA KILIMO hakuna MAENDELEO ambayo yatastawi.ni kijilisha upepo tu.
Tofautisha uchumi wa serikali na uchumi wa mtu mmoja mmoja. Hayo uliyotaja yatainua uchumi wa serikali.SGR, Stieglers, ndege, ndio muarubaini wa matatizo yetu. Uchumi utapaa miradi hiyo ikamilika. Hapa Kazi Tu.
Sasa mtu kama Jiwe aliweza, nani atashindwa?Mkuu upo serious kabisa chama kama Chadema kipewe nafasi kuongoza nchi yetu? Hata kama ni ni kuwapa nafasi waonyeshe uwezo?
Ngoja nikuache. Siwezi kuendelea kuhangaika na mtu kama wewe asiyeweza kujifunza chochote. Ni kupoteza muda bure.Umepigia jibu yale ninayokuambia kila siku, hauko vizuri kichwani.