Kwa wanaume hii imenishtua sijui Wadau mnasemaje

Kwa wanaume hii imenishtua sijui Wadau mnasemaje

chavka

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2011
Posts
223
Reaction score
46
Kuna redio moja nikiwa kwenye gari nimesikia wanasema kwa mwanaume kama hutoi majimaji kwa wingi kabla ya tendo la 6*6 inasababisha kuchelewa kutoa manii na tatizo likizidi inakuwa tabu kutoka manii. Na visababisho wanadai kuwa na wapenzi wengi,pombe na uvaaji wa over'roli kwa mafundi viwandani. Kwa bahati mbaya sikusikiliza tiba yake wala nn tufanye ili kujikinga na hali hiyo.
Je? Wadau mwenye kulijua hili atueleweshe na nn chakufanya kwa wenye nao
 
Visababishi vyaweza kuwa kwel,ila tiba yake ni rahic na nafuu,
PENDELEA KULA MLENDA au BAMIA kwa wingi utapona
 
Back
Top Bottom