chavka
JF-Expert Member
- Jun 21, 2011
- 223
- 46
Kuna redio moja nikiwa kwenye gari nimesikia wanasema kwa mwanaume kama hutoi majimaji kwa wingi kabla ya tendo la 6*6 inasababisha kuchelewa kutoa manii na tatizo likizidi inakuwa tabu kutoka manii. Na visababisho wanadai kuwa na wapenzi wengi,pombe na uvaaji wa over'roli kwa mafundi viwandani. Kwa bahati mbaya sikusikiliza tiba yake wala nn tufanye ili kujikinga na hali hiyo.
Je? Wadau mwenye kulijua hili atueleweshe na nn chakufanya kwa wenye nao
Je? Wadau mwenye kulijua hili atueleweshe na nn chakufanya kwa wenye nao