Kwa wanaume kila kitu ni ghali, si nguo, viatu wala mabegi, hatuna pa kupumulia!

Kwa wanaume kila kitu ni ghali, si nguo, viatu wala mabegi, hatuna pa kupumulia!

Vya bei rahis vipo riverside tu.
 
Aisee ni kweli kabisaa ..yaan mdada akiwa na elfu 30 tu ana pendeza kupita maelekezo ila kwa kidume iyo 30 yaan labda ukavae malapu lapu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji28][emoji28][emoji28] nimeuliza boxer zile white za CK nimeambiwa kuanzia tatu ni elfu thelasini 30,000 Tzs
Sasa za James Charles, 3 ni 45k
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jamani sisi wanaume tumechoka kutafuta affordable decent clothes, shoes, bags even designer clothes. It seems watu wanawaza wanawake tu wakidhani hao ndio wakuvaa nguo tu na kupendeza sisi tuwe kama vichaa tu.

Designers ndio kabisa, walishajiweka ku deal na nguo za men but exclusively women; najua wanadhani hivyo sababu wanawake wengi are obsessed na kubadili badili na pia wengi wanahudumiwa na wanaume lakini na wanaume pia need to look good na sana sana of the working class ila sasa nguo za wanaume, viatu ni bei sana, hata nguo za watoto wa kiume pia.

Many clothes shops cater to women tu hadi inakera and it can get super boring. Kama design fulani wakivaa wanaume halafu wanawake wakaiga, wanaume tukiendelea kuzivaa tu basi basi tujiandae kuambiwa tumehama upande, INACHOSHA!

We need affordable designer clothes, za daraja la kawaida pamoja viatu vya bei nafuu kwa wanaume wa kawaida.
Mwaka 1987 rafiki wa kiume kwasasa ni marehemu alikuwa anavaa chupi za kike na alikuwa nazo nyingi hakuwa na chupi za kiume nilimuuliza kwanini alisema anazipenda kuliko za kiume alibadilisha mtizamo 'mind set'
 
Mtoa mada Ni Aina flani yanaishia na junior, afu dady dady nyingi Sana mdomoni[emoji4]
 
Aisee ni kweli kabisaa ..yaan mdada akiwa na elfu 30 tu ana pendeza kupita maelekezo ila kwa kidume iyo 30 yaan labda ukavae malapu lapu
Elfu 30 mbona nyingi,😂😂😂
Sendo nzurii 3000 mpka 5000,blauz 2000,chupi zipo kuanziaa 1000 na kuendelea,blazia 👙 3000,sket 3000 au 5000 Tena hapo naongelea wenye hela kidogo.
 
Back
Top Bottom