Kwa wanaume kila kitu ni ghali, si nguo, viatu wala mabegi, hatuna pa kupumulia!

Makasiriko mengine ya kike,Binafsi sioni shida kwa mtoa uzi hapo juu.Kama umeelewa imeisha hiyo kama hujaelewa omba msaada mbona rahisi sana mzee
huoni shida sababu nawewe unatafuta haki sawa.
 
Vya bei rahis vipo riverside tu.
 
Aisee ni kweli kabisaa ..yaan mdada akiwa na elfu 30 tu ana pendeza kupita maelekezo ila kwa kidume iyo 30 yaan labda ukavae malapu lapu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji28][emoji28][emoji28] nimeuliza boxer zile white za CK nimeambiwa kuanzia tatu ni elfu thelasini 30,000 Tzs
Sasa za James Charles, 3 ni 45k
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwaka 1987 rafiki wa kiume kwasasa ni marehemu alikuwa anavaa chupi za kike na alikuwa nazo nyingi hakuwa na chupi za kiume nilimuuliza kwanini alisema anazipenda kuliko za kiume alibadilisha mtizamo 'mind set'
 
Mtoa mada Ni Aina flani yanaishia na junior, afu dady dady nyingi Sana mdomoni[emoji4]
 
Aisee ni kweli kabisaa ..yaan mdada akiwa na elfu 30 tu ana pendeza kupita maelekezo ila kwa kidume iyo 30 yaan labda ukavae malapu lapu
Elfu 30 mbona nyingi,πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Sendo nzurii 3000 mpka 5000,blauz 2000,chupi zipo kuanziaa 1000 na kuendelea,blazia πŸ‘™ 3000,sket 3000 au 5000 Tena hapo naongelea wenye hela kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…