PSL god
JF-Expert Member
- Nov 18, 2023
- 8,435
- 6,476
binafsi sijawahi ku date mtu yeyote mtandaoni ila nimepata positive Experience mfano humu jf unaweza kujuana na mtu Mpaka usiamini macho yako
.
ni kweli kuna watoto wengi humu ila wachache niliobahatika kuwajuwa wako amazing staki kuwataja.
unakutana na mtu !(just a friend) muelewa, msomi ,anajiheshimu etc etc..yaan in short ni gentleman
note: mtu wa hivyo ni ngumu sana kukubari kuwajua in and out mpaka umjue inabidi uwe smart. ahaaaaaa hope utapita hapa.