Kwa wanaume mnaotafuta wanawake humu

Kwa wanaume mnaotafuta wanawake humu

Muwe mnawajibu vizuri hawa watu huko PM teh teh...

Msiwe mnaangalia Join date ndio mnatoa attention, sio fair hivo hahaha

Si mnaona sasa kaamua kufunguka kwa hasira..

Tatizo sio join date ila story zao huwa zinaboa
unakuta mtu anatuma pm 8 zote salamu
anaanza mambo, unajibu poa anatuma tena mishe vipi unajibu fresh
haishii hapo anarudi tena mambo yanaendaje wangu.....f*ck
cc Vin Diesel lol
 
Last edited by a moderator:
Tatizo sio join date ila story zao huwa zinaboa
unakuta mtu anatuma pm 8 zote salamu
anaanza mambo, unajibu poa anatuma tena mishe vipi unajibu fresh
haishii hapo anarudi tena mambo yanaendaje wangu.....f*ck
cc Vin Diesel lol

teh teh teh teh aiseeeeee....

kwahiyo hata wale ma'elite wa humu ndio wako hivo hivo PM au???

Just curious..
 
Tatizo sio join date ila story zao huwa zinaboa
unakuta mtu anatuma pm 8 zote salamu
anaanza mambo, unajibu poa anatuma tena mishe vipi unajibu fresh
haishii hapo anarudi tena mambo yanaendaje wangu.....f*ck
cc Vin Diesel lol

oyaaaamishe vipiiiii??? hahahaha
 
1.Tuna sifa zote ndio maana hata ukikutana na huyo wa mtandaoni anakukubali,hata nao wana vigezo vyao hawakubali kila MTU.
2.Busy Sana,wengine tumejiwekea marufuku ya kudate kazini au mtaani.
3.Wengine tunapoishi unapishana na magari tu 80% yana vioo tinted hivyo ni ngumu kugongana na wanawake barabarani.
4.Jibu lipo namba 2 na 3
5.Sio udomo zege kwasababu hata wa mtandaoni ukikutana nae inabidi uongee,tena points coz u have only one shot!

Mapenzi popote hawa wa mtandaoni ndio hao hao wako mtaani au unafikiri wanatoka Mars?!

Unaweza kutafuta Manzi mitandaoni brother, au hapa unazungumzia ku-fall kwa Manzi unayekutana nae kupitia mitandao?
 
wanaume wengine wanaotafuta wanawake mitandaoni ni waongo, na ukimkuta alie mkweli basi ujue ana tabia fulani ambazo huko mitaani hawezi kupata mwanamke

Really? Am asking... (If yes pls give a proof)
 
Na humu huwezi kupata mke mwemye sifa. Wengi ni..............!
 
It is always interesting to meet some one new you never met before! Inachosha sanaa kutoka na watu unaowajua sababu unawajua tayari si loloye si chochote hawana jipya!

We umeshakubuhu wewe kutoka na mijanaume ya mitandaoni...nina waswas it's one your serous source of income.
 
1.Tuna sifa zote ndio maana hata ukikutana na huyo wa mtandaoni anakukubali,hata nao wana vigezo vyao hawakubali kila MTU.
2.Busy Sana,wengine tumejiwekea marufuku ya kudate kazini au mtaani.
3.Wengine tunapoishi unapishana na magari tu 80% yana vioo tinted hivyo ni ngumu kugongana na wanawake barabarani.
4.Jibu lipo namba 2 na 3
5.Sio udomo zege kwasababu hata wa mtandaoni ukikutana nae inabidi uongee,tena points coz u have only one shot!

Mapenzi popote hawa wa mtandaoni ndio hao hao wako mtaani au unafikiri wanatoka Mars?!

Dear nimechekaje haswa hapo number 2 & 3.. aahhhhaaa... ni kweli ulichokisema.. Very good points .. Hongera sana... Thanks..
 
Wengi mitaan wana wapenzi tayari
WA huku wanafanya WA kuzugia na
Wengine hutafuta wenye hela c
Wanaume Tu hata wanawake.
 
Kwa wanaume mnaotafuta wanawake humu,naomba kujua mnakabiliana na changamoto gani huko nje hadi mje kutafta mabinti humu?

Maana sielewi inakuaje hadi unakosa mwanamke huko unakoishi hadi unakuja kulia humu kwamba upweke unataka kukuua.

Mbona mabinti ni wengi sana na wanapatikana kwa urahisi au mimi tu ndio naona hivyo? Tatizo ni nini?

je;
1. Mmekosa sifa za mabinti mnaoishi/kusoma /kufanya nao kazi?
2. Mko bize sana na kazi/shule hadi mnakosa muda wa kusocialize na watu[wanawake] hadi kuwapata?
3. Mabinti hawapatikani huko mnakoishi[wachache na wameshachukuliwa na wengine]?
4. Hao mnaoishi,soma au kufanya nao kazi hawana vigezo vyenu?
5. Udomo zege?[kama ndio hivyo hizi mitandao zisingekuepo mngefanyaje?mngebaka?

Kwa kweli sielewi hasa mwanaume unakosaje binti huko hadi uje kulia upweke hapa. Kumbuka: simaanishi kwamba wa humu hawafai au hawatakiwi,ndio hao hao tunaoishi nao.
Jibu utapata kwa.wanawake wanao.patikana umu coz wanaliwa na kuachwa
 
Duuh una good eyes to see hongera ..aaha. i just sikutegemea if anyone can see and read my comment .. My dear its a long story aaahhhaa.. but huo ndio ukweli ..By the Grace of God Unakaribishwa harusini.. Thanks..

Hahaha me mmbea hatari

It shall be well with you guys and by the grace of God, we shall witness your everlasting union. Keep on being good
 
Hahaha me mmbea hatari

It shall be well with you guys and by the grace of God, we shall witness your everlasting union. Keep on being good

Aaahhhhaaaaa.. Hamna dear sema umebarikiwa tuu na good eyes.. wengine hapa bila glasses hatusomi words . So you are blessed .. Amen my dear Thank you so much.. And yes I will try my best to be good. Thanks..
 
Back
Top Bottom