Valentina
JF-Expert Member
- Oct 12, 2013
- 24,684
- 28,777
ngabu kasema kila siku una mume mpya, hivi siku yangu lini vileeee!
Siku yako subiri xmass ya mwaka 2030 eeh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ngabu kasema kila siku una mume mpya, hivi siku yangu lini vileeee!
Nimekutana nao kama saba(7) hivi kwa idadi hii ni sampuli tosha
Sawaa, we ninyanyapae tu...!Siku yako subiri xmass ya mwaka 2030 eeh
wanaume wengine wanaotafuta wanawake mitandaoni ni waongo, na ukimkuta alie mkweli basi ujue ana tabia fulani ambazo huko mitaani hawezi kupata mwanamke
Haaaaaaa we babu jamani hujatulia..
Sawaa, we ninyanyapae tu...!
teh teh! nani unamuongelea hapa!Ovyoooo!
teh teh! nani unamuongelea hapa!
afu nina ujumbe wako bidada....hem nitafute nikupe habari moto moto..Naiongelea mada, teh teh teh
afu nina ujumbe wako bidada....hem nitafute nikupe habari moto moto..
hahahahahaaaaaa...Uwiii ninavyopenda habari motomoto hebu nipe nipe
hahahahahaaaaaa...
Kwani kunamahali nimesema nipo na mtu?mi single boy mbona
It is always interesting to meet some one new you never met before! Inachosha sanaa kutoka na watu unaowajua sababu unawajua tayari si loloye si chochote hawana jipya!
Kwa wanaume mnaotafuta wanawake humu,naomba kujua mnakabiliana na changamoto gani huko nje hadi mje kutafta mabinti humu?
Maana sielewi inakuaje hadi unakosa mwanamke huko unakoishi hadi unakuja kulia humu kwamba upweke unataka kukuua.
Mbona mabinti ni wengi sana na wanapatikana kwa urahisi au mimi tu ndio naona hivyo? Tatizo ni nini?
je;
1. Mmekosa sifa za mabinti mnaoishi/kusoma /kufanya nao kazi?
2. Mko bize sana na kazi/shule hadi mnakosa muda wa kusocialize na watu[wanawake] hadi kuwapata?
3. Mabinti hawapatikani huko mnakoishi[wachache na wameshachukuliwa na wengine]?
4. Hao mnaoishi,soma au kufanya nao kazi hawana vigezo vyenu?
5. Udomo zege?[kama ndio hivyo hizi mitandao zisingekuepo mngefanyaje?mngebaka?
Kwa kweli sielewi hasa mwanaume unakosaje binti huko hadi uje kulia upweke hapa. Kumbuka: simaanishi kwamba wa humu hawafai au hawatakiwi,ndio hao hao tunaoishi nao.
Akitumia id ya siku zote atakosa mke