Kichwa Ndio Mtu
JF-Expert Member
- Jan 17, 2014
- 3,079
- 1,711
Kudanganya umri ni utamafuni wa watanzania naona, sio wanawake wala wanaume, wote wana tabia ya kupenda kudanganya umri.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa hiyo ulonae ni mwanaume mwenzio?
Vijana wa siku hizi hawana sifa za kuitwa WANAMUME bali wakiume......Mwanamume aliyekomaa hawezi kuyaanika mambo yake ya faragha namna hii kwani anajua moja ya sifa ya kuwa kiongozi wa familia ni uwezo wake wa kuyashughulikia mambo yanayomhusu na kuyatafutia ufumbuzi na sio kuyaanika mbele ya hadhara....
Wanamume hatujapewa vifua vipana kwa ajili ya kuvalia vibodi suti tu....bali kukabiliana na changamoto mbali mbali...
Naona wema sepetu kakukaa kichwani,
Hii sredi itakupunguzia umaarufu wako kwa wadada wa humu MMU
Mi nakupongeza kwa utunzaji wako wa simu uliotukuka.
Ila ungefanya mandingo ufute hako ka signature....
Mi ntatafuta tu na wala siachi maneno yako hayatanipunguza kasi najua yupo tu anayejua namuhitaji humuhumu siwezi kumuacha kwa kusikiliza maneno yako.
Vipi kwani wamekuvuruga?
Akitumia id ya siku zote atakosa mkeMbona huyo Iyoka thread started ni hii moja tu.. hana thread nyingine
Hii sredi itakupunguzia umaarufu wako kwa wadada wa humu MMU
Habari Jf,nimefanya utafiti kupitia jukwaa la MMU,hapa Jf hakuna mabinti wanaotafuta wanaume,wanaotafuta ni wanawake waliozalishwa na kutelekezwa,wengine wameachwa na wanaume kwa matatizo walionayo,umri wao ni zaidi ya 30yrs ila wanajitahidi sana kupunguza,utamsikia anasema ana 24yrs ili aonekane mdogo kumbe jua limeanza kuzama na anajutia alivyosumbua akiwa na umri chini ya 30yrs,halafu utamsikia sitaki mapenzi nataka niolewe wakati asali hakuna ni mzinga tupu,hakuna hata jipya,wanawake wanachanganyikiwa sana wakiona miaka inaenda hapati wa kuishi nae,nimeokoka nataka mume mwema wakati wewe hufai kuwa mke mwema,USIKU MWEMA
Ni bora huyo aliezaa kuliko anaetoa ili abaki kuonekana binti. Na kuna wadada wengi tu wamezaa lkn wanainekana mabinti kuliko ht hao ambao hawana watoto. Jaman kuzaa isiwe sbb ya kumnyanyapaa mtu,vijana acheni kukaa kila siku mnawaza kasoro za wanawake tu,mbona ht wanaume wenye watoto nao ni wengi au hao wadada wanazaa peke yao.