Kwa wanaume mnaotafuta wanawake humu

Kwa wanaume mnaotafuta wanawake humu

hapana unaweza kukuta mtaani wanamtamani ila basi tu makucha hataki kuyafungua mtaaani,afu mtaani nuksi ukitoka na mtu mtaa mzima utajua especially kwetu uswazi.
 
Kwan wewe, hakuna mtu alishawahi kukuvutia humu ndani, kwa kusoma tuu aliyoyaandika??!.
We unafkiri huyu anaekufurahisha, hapa japo hujawahi kumuona, ukimuona na ukakuta anasifa ya nyongeza "Mvuto wa sura", na yule mfanya kazi mwenzio anaetamaniwa na watu kwa sababu ya umbile au sura yake tuu while kichwani "...... loading 27%", Yupi ni bora kuliko mwingine na unadhani utampenda zaidi??
 
Habari Jf,

Nimefanya utafiti kupitia jukwaa la MMU,hapa Jf hakuna mabinti wanaotafuta wanaume,wanaotafuta ni wanawake waliozalishwa na kutelekezwa,wengine wameachwa na wanaume kwa matatizo walionayo,umri wao ni zaidi ya 30yrs ila wanajitahidi sana kupunguza.

Utamsikia anasema ana 24yrs ili aonekane mdogo kumbe jua limeanza kuzama na anajutia alivyosumbua akiwa na umri chini ya 30yrs, halafu utamsikia sitaki mapenzi nataka niolewe wakati asali hakuna ni mzinga tupu.

Hakuna hata jipya,wanawake wanachanganyikiwa sana wakiona miaka inaenda hapati wa kuishi nae,nimeokoka nataka mume mwema wakati wewe hufai kuwa mke mwema.

USIKU MWEMA
 
Wewe ni mume mwema? au hao wanawake wa jf wenye miaka 30.... hapaswi kupenda au kupendwa? je wewe una miaka mingapi? Good night na pole kama umevurugwa. Baba Magufuli njoo unyoshe watu maana mtu akikosa cha kuandika anaanzadis mama yake.
 
Utakuwa ni kati ya niliowasema,ukizalishwa unafaa kuwa mchepuko kwa asilimia chache kwasababu nawewe unapenda
 
Vipi kwani wamekuvuruga?

Kwa Utaalam Wangu Uliotukuka Valentina Ndiyo Iyoka Na Hapa Anatuchezea Shere Tu Kwa Kuanzisha Uzi Kisha Kuujibu Haraka. Kwa Mfano Angalieni Threads Alizoanzisha Iyoka Na Interval Yake Kisha Muda Mfupi Tu Utamwona Valentina Anajibu. Ukishakuwa Mzoefu Wa Hii Mitandao Kumjua Mtu Na Ujanja Wake Ni Rahisi Mno.
 
Last edited by a moderator:

Ha ha ha haa endelea kujaribu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom