Malafyale
Platinum Member
- Aug 11, 2008
- 13,833
- 11,173
Sasa hapa mi ndo sielewi....unaanzishaje mahusiano na anonymous? Huogopi kuopoa garasa?
Dunia ya sasa mpenzi wa online hakwepeki na ni kizamani eti kutongoza lzm mkutane face to face!
Kuna ndoa wapenzi walikutana online zinanoga kuliko wale wa mazoea ya kukutana maofisini au mashuleni!