Kwa wanaume mnaotafuta wanawake humu

Not necessarly HE COMES FROM DIFF BACK GROUND REMEMBER! Hawezi kuwa sawa kimtazamo na sie! TO FREE YOURSELF FROM VICIOUS CYCLE OF POVERTY YOU NEED A PASS TO THE OTHER SIDE WHERE THE GRASS IS ALWAYS GREENER REGARDLESS OF THE SEASON!

Hivi Lara unajua the fact kwamba we are from diff background n location n all tht kuna possibility pia nikawa na the same same dramaz ambazo umeshaziexperience from the guys around u.
 
Huyo wa kwenye mtandao pia ukishamzoea unamuona the same as unavyomuona wa mtaani au sehemu ya kazi unles otherwise u a luking for one night stand.

Ni kweli aisee kama mtu ukimzoea unamuona si lolote si chochote hata huyo wa mtandao utamzoea na utamuona hivyo hivyo
 
wanaume wengine wanaotafuta wanawake mitandaoni ni waongo, na ukimkuta alie mkweli basi ujue ana tabia fulani ambazo huko mitaani hawezi kupata mwanamke

Nashawishika na hoja yako
 
Mbona u sound like the relationship wil strictly be online chief ,vp the way anabehave online ikiwa tofauti na in real life,bado utakua interested naye?

Mna take online very serious...mtu akiwa online ni mtu mwingine na akiwa mtaani ni mwingine.. ndo maana ya anonymous....mkikutana mnaanza stages za kufahamiana...usisahau watu wanajilinda na psychos pia.. so uongo na false infos ni kawaida...why nikwambie everything about me while sikujui enough?
 

Ok boss nimekuelewa.
 

Wa Uswazi Kwani Wanauza
 

Sasa hapa mi ndo sielewi....unaanzishaje mahusiano na anonymous? Huogopi kuopoa garasa?
 

Kwani JF sio maeneo yetu?
 
Sasa hapa mi ndo sielewi....unaanzishaje mahusiano na anonymous? Huogopi kuopoa garasa?

Mahusiano mengine mtu haanzishi..yanatokea tu...attraction is not a choice...na sio Lazima yafike popote yanaweza kufa natural death pia
 
Kwani JF sio maeneo yetu?

Rejea kwenye mada kuu nilieleza maeneo yake maana yake nini,anakoishi,kufanyia kazi,kusali/swali,kusoma,kutembelea. Sasa wewe niambie kama jf ndio eneo lako kwako wewe,yaani kama unaishi jf.
 
Mahusiano mengine mtu haanzishi..yanatokea tu...attraction is not a choice...na sio Lazima yafike popote yanaweza kufa natural death pia

Lakini mtoa mada ameongelea wale wanaokuja hum seriously wamatafuta wachumba kwa kuanzisha nyuzi. Naona wewe hapa unaongelea kitu tofauti...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…