Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Kwanza mimi mitaani najuwana na watu wengi sana lakini ni penfriend ndio aliwahi kunipandisha ndege mpaka Stockhom Sweden wakati huo hakukuwa na Facebook wala JF, inashangaza leo mtu mvivu wa kufikiriwanakuja na mada za kitoto kama hizi. Poor IQKwa wanaume mnaotafuta wanawake humu,naomba kujua mnakabiliana na changamoto gani huko nje hadi mje kutafta mabinti humu?
Maana sielewi inakuaje hadi unakosa mwanamke huko unakoishi hadi unakuja kulia humu kwamba upweke unataka kukuua.
Mbona mabinti ni wengi sana na wanapatikana kwa urahisi au mimi tu ndio naona hivyo? Tatizo ni nini?
je;
1. Mmekosa sifa za mabinti mnaoishi/kusoma /kufanya nao kazi?
2. Mko bize sana na kazi/shule hadi mnakosa muda wa kusocialize na watu[wanawake] hadi kuwapata?
3. Mabinti hawapatikani huko mnakoishi[wachache na wameshachukuliwa na wengine]?
4. Hao mnaoishi,soma au kufanya nao kazi hawana vigezo vyenu?
5. Udomo zege?[kama ndio hivyo hizi mitandao zisingekuepo mngefanyaje?mngebaka?
Kwa kweli sielewi hasa mwanaume unakosaje binti huko hadi uje kulia upweke hapa. Kumbuka: simaanishi kwamba wa humu hawafai au hawatakiwi,ndio hao hao tunaoishi nao.