Kwa wanaume na wanawake: Udongo (natural) Unaolainisha ngozi sasa unapatikana

Naweza kuupataje huo
naweza kuupataje huo udongo nakaa kigambn ferry
 
Naomba kujua,inawezekana niwe naogea kama sabuni,sihitaji vikorombwezo sijui nipake nisubiri ikauke,embu nijibu pls [HASHTAG]#Zainab[/HASHTAG] Tamimu
 
Naomba kujua,inawezekana niwe naogea kama sabuni,sihitaji vikorombwezo sijui nipake nisubiri ikauke,embu nijibu pls [HASHTAG]#Zainab[/HASHTAG] Tamimu

Unaweza kuogea na wenyewe unateleza kama sabuni.

Tena kuna mtu nje ya Tanzania kwa sasa anatengeneza kabisa sabuni za huu udongo wetu.
 
mkuu mbona huku dom haupatikani jamani yaani kila kitu dar tu
mnatuonea bwana nasi twaitaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…