Kwa wanaume na wavulana - Tell her that she is the one

Hahaha!!! Boss wadada huwa wanapenda jinsi Fally anavyokata mauno yake, sasa huku sisi ukianza kukata mauno watu wanakutengenezea picha nyingine lol!!

Mkuu umenipa kazi ya ziada hapa, najaribu kupata picha ukiwa unakata mauno kama Fally.... Lol
 
The Finest

Boss anakupandisha mkenge ................

Wengine wanababaishwa na sauti ya mwanamme .......mauno hayahusu

unanipa hamu ya kukupigia simu uisikie sauti yangu lol
halafu nione reaction yako lol
 
The Finest

Boss anakupandisha mkenge ................

Wengine wanababaishwa na sauti ya mwanamme .......mauno hayahusu
Hahaha!!! Boss sijui alihudhuria ile shoo ya Fally alipokuja
 
switiii ameusuza mtima wangu naona haka kauchawi kanafanya kazi bwana, nimeduwa namsikiliza Shai-conforter weka basi na zile za kwetu.

Chauro Mpenzi hebu check Finest aliboniwahi (atakua na agenda zake huyu... Khaa!)




Khaaa!!! PA Umelenga hapo nini??? lol
 
Boss alimuona Mboni aka Kim K wa Bongo alivyombabaikia Fally, akajua baaasi mauono ndo mpango mzima!

yani mimi huyo Mboni
hata kuongozana nae tu nitaona 'kashfa'
anavyo kuwa cheap na 'akina etoo na fally' hadi aibu..
 
ndio wabongo walivyo....akiwa ni mcongo watasema ana kipaji cha aina yake....
lakini mbongo utasikia 'si bure yule'kuna kitu lol
Hahaha!!! Boss kata mauno uone utakavyoanza kuhisiwa lol!!

uliona wadada wanaojifanya 'masocialite' wa dar walivyokuwa wanajipeleka bure bure kwa fally????/
Siku ile mabaunsa walikuwa na kazi ya ziada kuzuia wadada kuliko wanaume

Boss alimuona Mboni aka Kim K wa Bongo alivyombabaikia Fally, akajua baaasi mauono ndo mpango mzima!
Halafu na jinsi siku ile alivyokuwa amevaa ameacha chuchu na kitovu wazi ndio kabisa lol!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…