Mjamaa1
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 7,596
- 6,023
- Thread starter
- #21
Tuendelee kusaka pesa kaka. Alafu mbona unataka ku panic brother 😁We ndo hujielewi sababu mtu akishakuwa mke maana yake anakuwa entitled kuwa sehemu ya mume. Kwa hali na mali so mke huwezi kumuita gold digger in anyhow. Labda awe bad spender.
Golddigger ni mwanamke ambaye hajaolewa ila anataka treatment ya mke wa ndoa na mostly qnawazia hela tu ya mwanaume ili kutimiza fantasy zake. Goldigger haongezi thamani yeyote kwa mwanaume ila ni parasite