Tuendelee kusaka pesa kaka. Alafu mbona unataka ku panic brother 😁We ndo hujielewi sababu mtu akishakuwa mke maana yake anakuwa entitled kuwa sehemu ya mume. Kwa hali na mali so mke huwezi kumuita gold digger in anyhow. Labda awe bad spender.
Golddigger ni mwanamke ambaye hajaolewa ila anataka treatment ya mke wa ndoa na mostly qnawazia hela tu ya mwanaume ili kutimiza fantasy zake. Goldigger haongezi thamani yeyote kwa mwanaume ila ni parasite
Oya alafu nahitaji Kirikuu , Carry moja safiWe ndo hujielewi sababu mtu akishakuwa mke maana yake anakuwa entitled kuwa sehemu ya mume. Kwa hali na mali so mke huwezi kumuita gold digger in anyhow. Labda awe bad spender.
Golddigger ni mwanamke ambaye hajaolewa ila anataka treatment ya mke wa ndoa na mostly qnawazia hela tu ya mwanaume ili kutimiza fantasy zake. Goldigger haongezi thamani yeyote kwa mwanaume ila ni parasite
KWA mwanamke anaejitambua na kufahamu wajibu wake katika ndoa kwake heshima haibadilishwi na uwepo au kutowepo kwa hivyo.Ukitaka nyumba iwe na amani na mke akuheshimu,,,,
Piga mashine vizuri
Mhudumie,,,mpe pesa
Saka pesa kwa faida yako binafsi mwanamke aridhiki.Tuendelee kusaka pesa kaka. Alafu mbona unataka ku panic brother 😁
Hakika huu ndio ukweli!!Mkuu wadada wanataka vitu ambavyo wewe huna[emoji28][emoji28]
Wanawake bado awajui wanataka nini hata uwe na vyote still atatafuta kasoro.Ukitaka nyumba iwe na amani na mke akuheshimu,,,,
Piga mashine vizuri
Mhudumie,,,mpe pesa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nakataka kucha halafu anabandika plastic kwa kutumia gundi, analipaka rangi anapiga picha kapendeza.
Mitazamo ya mwanamke na mwanaume ni tofauti sana kwa kila kitu
[emoji16][emoji16][emoji28][emoji1787]
Bei gani ipo?Oya alafu nahitaji Kirikuu , Carry moja safi
Kirikuu milion 7 sikuhizi hamna vya million 3
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unaweza kunionesha mtu ambaye hatafuti pesa?
Hata wagonjwa hospitalini wana tafuta pesa ya matibabu.
Hii lugha ya kijinga tutafute pesa haina mashiko, na isitoshe kila mtu ana pesa tunazidiana viwango tu.