Rare Sapphire
JF-Expert Member
- Jul 24, 2021
- 590
- 1,648
Hili zoezi lilifanywa siku ya baba duniani Kenya, ambapo wanaume waliambiwa wawapigie simu baba zao na kuwaambia wanawapenda. Wengine walikuwa hawajawahi hata siku moja kuwaambia baba zao wanawapenda.
Uko tayari kujaribu zoezi hili? Tuambie baba yako alijibu nini ulipomwambia unampenda.
Angalia mwenyewe baba zao walivyojibu 👇👇
Uko tayari kujaribu zoezi hili? Tuambie baba yako alijibu nini ulipomwambia unampenda.
Angalia mwenyewe baba zao walivyojibu 👇👇