Rare Sapphire
JF-Expert Member
- Jul 24, 2021
- 590
- 1,648
Kwa leo jaribu kupiga simu, achana na smsMzee wangu ni mwana sana ila siwez mtumia sms za hvyo..labda nimwambie namkubali ila sio kutumia neno kupenda
Ngumu aiseKwa leo jaribu kupiga simu, achana na sms
Inabaki kuwa kimya kimya ajue kuwa unampenda, ila majibu yanaweza kukushangaza kama kwa baadhi ya hao kwenye videoMwanaume kumwambia mwanaume mwenzio nakupenda:!!!
hata kama ni dingi anaweza akahisi dah hili toto lishaanza kua choko qmmqe
Mwanaume kumwambia mwanaume mwenzio nakupenda:!!!
hata kama ni dingi anaweza akahisi dah hili toto lishaanza kua choko qmmqe
wengine tabasamu la baba hatujawahi kuliona,sasa ndo ujaribu kumwambia unampenda labda kuna jambo unalitafutaInabaki kuwa kimya kimya ajue kuwa unampenda, ila majibu yanaweza kukushangaza kama kwa baadhi ya hao kwenye video
Kwanini kila mtu anaona majibu yatakuja negative....hakuna hata mmoja anayeona baba yake atafurahi?Mzee atakua na wasiwasi kashapoteza kijana