Kwa Wanaume TU- Jamani Jembe!!

Kwa Wanaume TU- Jamani Jembe!!

Asprin na Nyamayao...hivi mweka hazina ndo unakusanya mchango kwa matarumbeta?

Katibu hebu i minute hii ASAP....
 
Asprin na Nyamayao...hivi mweka hazina ndo unakusanya mchango kwa matarumbeta?

Katibu hebu i minute hii ASAP....

Samahani mwenyekiti...

Huyu mwanachama mpya mkorofi sana. Kajiunga juzi tu halafu anataka fomu za kugombea uenyekiti!
 
tusi kubwa sana hilo kaka yangu heshima ya mwanamke ndio iko hapo. Unaweza kuwa na sura na shepu mbaya lakini uko kukiwa swafi unaheshimika kuliko miss world

maty....ilikuwa wapi muda wote huo kumhakikishia huyu mbaba kwa mba amenidhalilisha sana? tuc kubwa sana hilo.
 
Jinsi itakatumika maramara ndo jinsi itakafanya kazi kwa ufanisi na kuwa kubwa zaidi, usipoitumia kama kawa itapungua.
 
ndio mana hatakiwi kujua hii ID coz hizi bla bla ninazomwaga humu na home nilivyo mkali haa patawaka moto cku hiyo...lol....lakini ni huyu Asprin ananisababishia yote haya...ndo mana cmpendi....:confused2:

Umeanza lini hiyo tabia mbaya?
 
Kilichokuleta huku kwenye sredi ya wakanamizaji ni nini?

Hata wewe nikiangalia mdomo wako najua kikojoleo chako kina dayameta gani....:A S 8:
hehehehehehe!:A S 8:
 
Wakuu nimepokea PM kutoka kwa mshikaji anaulizia kwa wazoefu hivi mwanaume akikaa miaka kama kumi bila kufanya tendo, jembe lake litakuwa kubwa ama litapungua?

Wakuu na wazoefu msaada tutani!

:A S confused:😛ound:😛ound::behindsofa::behindsofa::lalala:
Sorry jamani....napita tu!!!:becky::becky:
 
Kilichokuleta huku kwenye sredi ya wakanamizaji ni nini?

Hata wewe nikiangalia mdomo wako najua kikojoleo chako kina dayameta gani....:A S 8:

Hii siwezi kui-minute hata kwa amri ya pope....:confused2:
 
Asprin na Nyamayao...hivi mweka hazina ndo unakusanya mchango kwa matarumbeta?

Katibu hebu i minute hii ASAP....

Hakiachwi kitu hapa mwenyekiti...labda kwa lengo maalum...:A S 8:
 
Sure! Na mwanamme rijali anayekaa miaka kumi bila kukandamiza, mi nadhani ana matatizo. Ningekuwa Mungu ningemnyang'anya hicho kifaa na kumpa kile cha jinsia nyingine. Hayo ni matumizi mabaya ya kifaa cha kazi! God forbid!

[

:confused2::confused2::confused2:
 
:A S confused:😛ound:😛ound::behindsofa::behindsofa::lalala:
Sorry jamani....napita tu!!!:becky::becky:

Smiles hivi jembe lako lina miaka ooppps dah keyboard keypad zake zimegeuka juu chini ngoja nichukue :glasses-nerdy::glasses-nerdy: nione kama nimeandika sawa sawa
 
Hii siwezi kui-minute hata kwa amri ya pope....:confused2:
Kanuni zinaruhusu?

ndio mana ckuonagi, unavyopenda matuc sasa, yani leo hutabanduka kwenye hii thread....
Wewe unanitendesha dhambi... ngoja nikaungame.

Hakiachwi kitu hapa mwenyekiti...labda kwa lengo maalum...:A S 8:
Hahahaha! Kikazi zaidi, jasiri haachi asili...

:confused2::confused2::confused2:
:welcome::welcome::welcome:

Smiles hivi jembe lako lina miaka ooppps dah keyboard keypad zake zimegeuka juu chini ngoja nichukue :glasses-nerdy::glasses-nerdy: nione kama nimeandika sawa sawa
Ebwanae twenzetu bana bia zinapoa. Kina eliza wanabipu hapa!
 
Back
Top Bottom