Kwa wanaume tu: Kwenda la pili huwa unachukua sekunde au dakika ngapi?

Kwa wanaume tu: Kwenda la pili huwa unachukua sekunde au dakika ngapi?

Mkuu maji ya vuguvugu au baridi?.. tusaidie mkuu tusaidie tu[emoji853] wengine tukiingiza tu short tiyari tunashida mkuu tupo chini ya miguu yako
Jinsi unavyohangaika kutafuta mabao na hela unatafuta hvyo pia??[emoji1]
 
Mkuu maji ya vuguvugu au baridi?.. tusaidie mkuu tusaidie tu🙁 wengine tukiingiza tu short tiyari tunashida mkuu tupo chini ya miguu yako
Ni kweli, asaidie kabisa.........kuna la kwanza kupatikana chini ya dakika na la pili (ambalo ndo la mwisho) kupatikana baada ya masaa hata saba, tena kwa tabu na mashaka!
 
Sasa si bora ungekaa kimya mkuu unavamia fani za watu
Unaonaje low sperm count kwa macho?
Unajua mechanism ya refractory period?
Bora umeongea tumejua kichwa chako ni headquarter ya upuuzi
Unajua maana ya Dalili au unaongea tu kama sperm zako ni kidogo ni kiashiria au indicator moja wapo kwamba hata nguvu za kiume huna. Refractory period hutofautiana ndiyo maana nikauliza nyie huwa intervals zenu ziko vipi?....

Mkuu ulizaliwa kubishana vitu kila siku.
 
Mbona juu kwenye kichwa cha mada umeuliza swali lakini kwenye mada yenyewe umetoa majibu? Sasa kulikuwa na haja gani ya kuuliza?
Nilitaka kujua rate ya watu wenye matatizo haya ya kuchelewa kurudi. Na wengi wana chelewa au hawaendi twice.
 
Mkuu mengi hapo ni story za vijiweni..
Mfano, umesema moja ya dalili za kua una upungufu nguvu za kiume ni kua na kibamia, huo ni uongo mkuu uume mdogo hauhusiani na ns izo mambo labda point yako ungeiweka kua kukosa kujiamini.

Kingine umeipiga vita chaputa bila uthibitisho wowote wa kisanyansi, ni kosa kubwa sana hilo ndgu yangu. Punyeto itakuathiri ukiwa mraibu wa iyo kitu, piga kwa kiasi.

Kingine cha muhimu zaidii ulichosahau kwenye uzi wako, ni kumuandaa vyema manzi utaweza piga izo dk 20 zako ukaishia kumchubua mtoto wa watu. We unasukumiza tu bila ujuzi aisee utasanda kijana. Muandae mwenza vizur hata cha kwanza kikiwah atakua nae keshapiga kimoja tayar, then unafidia mbeleni, ukipanda kama punda tu utakimbiwa.
Umekitetea vizuri chama pendwa
 
Walioweka Condom kwenye pakiti zikae tatu walifanya utafiti wa kutosha sana.

Hivyo basi: Kidume hakikisha lazima unapiga vitatu,,unavopiga kimoja au viwili hizo condom zingine unamuachia nani??? haijalishi unatumia Masaa manne au dakika mbili na sekunde kadhaa, ila make sure unapiga vitatu
Ni standard ambayo imethibitishwa Kimataifa, kitaifa na Mamlaka zote, ndani na nje ya nchi...

Fact: Wadau wameleta majibu sahihi sana ila amini pia Demu unayekuwa nae anachangia sana Performance

Alisikika Muuza Kondom akisema
 
Back
Top Bottom