Kwa wanaume tu: Kwenda la pili huwa unachukua sekunde au dakika ngapi?

Mkuu maji ya vuguvugu au baridi?.. tusaidie mkuu tusaidie tu[emoji853] wengine tukiingiza tu short tiyari tunashida mkuu tupo chini ya miguu yako
Jinsi unavyohangaika kutafuta mabao na hela unatafuta hvyo pia??[emoji1]
 
Mkuu maji ya vuguvugu au baridi?.. tusaidie mkuu tusaidie tuπŸ™ wengine tukiingiza tu short tiyari tunashida mkuu tupo chini ya miguu yako
Ni kweli, asaidie kabisa.........kuna la kwanza kupatikana chini ya dakika na la pili (ambalo ndo la mwisho) kupatikana baada ya masaa hata saba, tena kwa tabu na mashaka!
 
Sasa si bora ungekaa kimya mkuu unavamia fani za watu
Unaonaje low sperm count kwa macho?
Unajua mechanism ya refractory period?
Bora umeongea tumejua kichwa chako ni headquarter ya upuuzi
Unajua maana ya Dalili au unaongea tu kama sperm zako ni kidogo ni kiashiria au indicator moja wapo kwamba hata nguvu za kiume huna. Refractory period hutofautiana ndiyo maana nikauliza nyie huwa intervals zenu ziko vipi?....

Mkuu ulizaliwa kubishana vitu kila siku.
 
Mbona juu kwenye kichwa cha mada umeuliza swali lakini kwenye mada yenyewe umetoa majibu? Sasa kulikuwa na haja gani ya kuuliza?
Nilitaka kujua rate ya watu wenye matatizo haya ya kuchelewa kurudi. Na wengi wana chelewa au hawaendi twice.
 
Umekitetea vizuri chama pendwa
 
Walioweka Condom kwenye pakiti zikae tatu walifanya utafiti wa kutosha sana.

Hivyo basi: Kidume hakikisha lazima unapiga vitatu,,unavopiga kimoja au viwili hizo condom zingine unamuachia nani??? haijalishi unatumia Masaa manne au dakika mbili na sekunde kadhaa, ila make sure unapiga vitatu
Ni standard ambayo imethibitishwa Kimataifa, kitaifa na Mamlaka zote, ndani na nje ya nchi...

Fact: Wadau wameleta majibu sahihi sana ila amini pia Demu unayekuwa nae anachangia sana Performance

Alisikika Muuza Kondom akisema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…