Kwa wanaume tu: Njia ya kuzuia kufikia kilele (kupizi) haraka

Kwa wanaume tu: Njia ya kuzuia kufikia kilele (kupizi) haraka

Lamchina

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2010
Posts
240
Reaction score
120
Sababu ya tatizo hili huweza kuwa ya Kibaiolojia na Kiakili. Kama wewe
pia ni moja yao na unapenda kujua jinsi ya zuia hali hii, endelea kusoma.



  • Jenga tabia ya kufanya mazoezi: Mwili wenye afya nzuri daima hufanya kazi vizuri, kwahiyo kitu rahisi cha kufanya ni kujenga tabia ya kufanya mazoezi ambayo husaidia kukujengea afya njema na kukupa mzunguko mzuri wa damu. Kama una mwili wenye afya basi inaweza kukusaidia kwa namna ya kifikra ambazo huchangia kwenye swala zima la kuwahi kupizi. Hii hutokana na hutokana na kuongeza kujiamini na kujihusudu.


  • Pumua vizuri na kikamilifu: Kiungo chochote cha mwili huhitaji nguvu kamili ili kufanya kazi na ndivyo ilivyo kwa habari ya viungo vya uzazi! Unapo pumua vizuri na kwa ukamilifu, kiungo hiki hupata nguvu za ziada. Mbinu mbalimbali za kupumua kama pranayama hujajwa kusaidia sana kujifunza jinsi ya kuzuia kupizi mapema. Baada ya kuinza tu (wakati wa tendo), jaribu kupumua kwa ufasaha ili mwili uweze kupata hisia kabla ya kuanza kufanya msuguano.

  • Mshirikishe mwenzako kikamilifu: Kuridhika kimapenzi ni tukio ambalo wote wawili mnaridhika kikamilifu. Ili kujifunza kujizuia kukojoa haraka, ni vizuri kuwasiliana na mwenzi wako wa kimapenzi. Anaweza akakusaidia kushinda tatizo hili la kiaibu, kila unapohisi unataka kukojoa mapema, sema 'ngoja' na usitishe kwanza shughuli zote kwa muda kidogo.
  • Pia kabla ya kwenda kuanza tendo kwa mfano upo ofisini na unajua jioni unakwenda kugegeda basi jitahidi usiwaze hayo mambo chukulia kama ni kitu cha kawaida. Hii ni kwasababu kuongeza concentration ya kuwaza ngono inaongeza stimulation kiasi kwamba ukiomgusa mpenzi wako tayari umekwishaachia hata kabla ya kuingiza
  • Pia angalia angalia style zenye kuchochea kukojoa haraka kwa mfano mbuzi kagoma.... etc hii ni ngumu kujizuia kukojoa hasa kwa bao la kwanza maana panakuwepo na constriction ya hali ya juu very tighten kiasi kwamba ukigusa tu tayari ..so ni vizuri style kama hizi zikafuata baada ya bao la kwanza ili uweze ku-enjoy vizuri zaidi.
  • Fanya mazoezi ya kukojoa na kubana mkojo mara kwa mara... hii ina maana kuwa unapokojoa mkojo unaachia then unakatiza unaendelea tena alafu unakatiza tena . Fanya mara tatu kila unapokwenda kukojoa. Hii ni muhimu kwa ajili ya kuongeza strength ya misuli ya uboo na kupunguza relaxation yake ... njia hii imewasaidia wengi na wamepona kabisa
  • Best of luck........and give back feedback!!!!!!​
 
Aah raha ya mechi bao bwanaa ya nini ulibanebane? Yaani we na nyavu afu waanza piga chenga?
 
Aah raha ya mechi bao bwanaa ya nini ulibanebane? Yaani we na nyavu afu waanza piga chenga?
Hahaha sio kubana kaka... wakati mwingine ukikutana na mpenzi wako ukimshika tu paja.. tayari umeshakojoa wakati mwenzako hata ndo unataka kufungua ukurasa wa kwanza...huoni kwamba utakuwa umemwacha mwenzako katika hali mbaya? Haipendezi kama wakati mnaanza maandalizi wewe ushamaliza wakati mwenzio hata hapajakucha ...ndo maana nasema ni vizuri kuwa na mkukuta utakowezesha wote kufurahia na kutoka bila bila
 
Aah raha ya mechi bao bwanaa ya nini ulibanebane? Yaani we na nyavu afu waanza piga chenga?

sawa raha mechi bao!
Lkn raha ya mechi chenga,cotrol na kanzu za hapa na pale ndio utaona hata mashabiki wanashangilia, sasa mpira unaanza tu sekunde ya 20 ushapigwa bao aaaha aibu bwana!!!

Raha ya bao linatakiwa likupe taarifa kuwa linakuja na wewe unavyopiga chenga goalkeeper anajiandaa kupokea mpira pia raha sana kama mgeni atakutaarifu kuwa anakuja kuliko kukushtukiza na bonge la begi ka meza unga hauna na unaishi chumba 1 na sebule....unategemea nini..........
 
Huyu jamaa ametoa elimu ya ukweli ila nadhan hii inategemea na nature ya mtu mwenyewe make haya mambo yapo kisaikolojia zaid ndo mana ukipata mshituko au ukihis ki2 flan ambacho c cha kawaida inasinyaa hata km hujamaliza.
 
eti unafika golini then unabana, unatuliza aaaaah mechi ainogi
funga goli then tafuta lingne but thanks kwa somo
 
Mimi nipo kama msafara wa Rais, mafuriko yanakuja faster. Huwa siwezagi kabisa kujitetea. Kwa somo lako, nitalifanyia kazi.
 
Back
Top Bottom