Hommie kwanini tuna nini mimi na wewe? Hujui muda wangu bado haujafika? LOL
Siku ya kwanza unatesti Zari - Hotelini with condom, na ulevi kumkichwa
Siku ya pili unathibitisha ulichokipata hotelini kama ni for real - Guest House with condom na ulevi kumkichwa
Siku ya tatu unataka kuhakikisha kama ni kweli - Guest house with condom, bila ulevi kumkichwa
Siku ya nne chumbani kwake bila condom
Siku ya tano unarudia room kwake
Siku ya sita unamwonyesha namba za simu za mkeo, ili waifu akistuka akampigia apokee kwa tahadhari
Siku ya saba ukitoka kazini unapitia kwake
Siku ya nane, unachangia kodi ya nyumba
Siku ya tisa unanunua samani za ndani
Ukiweka interval ya siku tano tano katika matukio hayo utakuta tisa mara tano ni 45. Kama unajua kufanya approximation, utakuta kama mnamegana kwa miezi miwili consecutively huyo tayari anakuwa kishakuwa nyumba ndogo
Gaga, my soulmate tafazali usiisome hii posti, ni kwa ajili ya makahaba, mashangingi, mamalaya, mashankupe, machakubimbi na mianaume yao isiyorizika na nyumba zilizoezekwa kwa vigae na badala yake kukimbilia kwenye vibanda vilivyoezekwa kwa mabati ya madebe vinavyovuja mvua ikinyesha.