Kwa Wanaume tu: Tunapoamua Kujenga Nyumba Ndogo

Kwa Wanaume tu: Tunapoamua Kujenga Nyumba Ndogo

Ila twende nyuma twende mbele, nyumba ndogo zinafaidi jamani, yaani utakuta jamaa kwake round moja chali, kwa nyumba ndogo mpaka povu linamtoka,bado atapewa story za nyumba kubwa zooote bila chenga, hapo inampa urahisi wa kurekebisha zile weakness za nyumba kubwa, inauma sana
BB If I may ask, ulishawahi kuwa kanyumba kadogo ka mtu?....If not ulijuaje hii siri kubwa namna hii?
 
Hommie....ex Saint RR....hapa naona unataka kuanza ujenzi ila nikutahadharishe hiki kiwanja kimeshanunuliwa na mtu na ana hati kabisa...lol

Hivi nyumba ndogo huwa haziuzwi? I mean kama nina hela ya kununua...and the user is ready to sell....lol

..............

Naenda kuikana signature yangu...........! Afu nakusemea kwa nyumba ya vigae.

Kibaya zaidi nasikia kiwanja chenyewe kimenunuliwa na mtoto wa Gadaffi........ hommie, utahudhuria mazishi ya hommie?

Sasa unaungana na feudal lord?
 
Hivi nyumba ndogo huwa haziuzwi? I mean kama nina hela ya kununua...and the user is ready to sell....lol
Siyo kila kilichopo kwenye shelf kinauzwa!...........First warning!
 
....Ambacho ningependa hasa tufikia muafaka ni kwa nini ziliitwa 'nyumba ndogo'?

Kingine...ni wakati gani hasa nyumba inakuwa rasmi nyumba ndogo.....kutofautisha na a one nite stand lets say....au kafling ka siku mbili...ni mwaka? mwezi? au wiki? au material investments? factors zipi zinadetermine kuwa ''sasa hii ni nyumba ndogo'" kwa mtizamo wa kijamii?
Karibuni tushee maexperience hapa......

Nyumba ndogo sio rasmi (mara zote nyumba kubwa haiijui/haiitambui na mwanaume anafanya juhudi kuificha) na mara nyingine hata siyo hasa ya kudumu. Lakini ikiendelea kwa muda mrefu, taratibu inaanza kuwa 'wazi' na inafikia nyumba kubwa (na ndugu wengine) wanaijua nyumba ndogo na pengine 'kuitambua'...aghalabu unakuta tayari kuna mtoto/watoto wamepatikana katika huo uhusiano...hapa inabadilika kutoka nyumba ndogo na kuwa 'bi mdogo'. Katika hatua hii kama uhusiano baina ya bi mkubwa na mume utavunjika by default 'bi mdogo' ndio anakuwa 'mke'

Kuna uhusiano mkubwa tu wa umri. Kumbuka 'wenzetu' wao wanazeeka/kuchuja mapema zaidi (at least kutokea kwenye macho ya mwanaume!) kulinganisha na 'sisi' (...hapa kwa haraka haraka najaribu kuangali age mates wangu wa kike). So mara nyingi nyumba ndogo huwa pia na umri mdogo ukilinganisha na 'nyumba kubwa'.
 
Dah!!! (najua ugomvi wa wanaume hauingiliwi but i can not agree with Sweetie's name kutajwa in relation to that... hata kama ni ODM Khaa! I'm OFF )
Oh Shem sorry (Nlifikiri umeweka kambi kule kwenye makisses, nafuta kauli mpaka utakapo LOG OUT)
 
Hommie....ex Saint RR....hapa naona unataka kuanza ujenzi ila nikutahadharishe hiki kiwanja kimeshanunuliwa na mtu na ana hati kabisa...lol
Khaaa! Hapa itakubidi either uthibitishe au ukanushe kauli yako. Vinginevyo nitaunda tume afu nitamwomba Asprin awe msemaji mkuu!
 
Nyumba ndogo ni haramu kabisa; tena ni aibu kwa mtu kusema ana nyumba ndogo. Nyumba ndogo ni uhuni. Ridhika na mke wa kwanza tu.
 
Nyumba ndogo ni haramu kabisa; tena ni aibu kwa mtu kusema ana nyumba ndogo. Nyumba ndogo ni uhuni. Ridhika na mke wa kwanza tu.

Afadhali kaka (your name says it) Naomba mawazo yako hivi ni kwanini saizi inaongezeka saana kwa kasi pamoja na kusema kuna maradhi lakini bado kaka/baba/waume zetu hawaelewi kabisa somo na cha ajabu maisha yamepanda saana hivo kuongeza gharam juu ya gharama?? Na katika marafiki wakaribu lets say watato ni wangapi umeshuhudia kua wana nyumba ndogo??
 
Khaaa! Hapa itakubidi either uthibitishe au ukanushe kauli yako. Vinginevyo nitaunda tume afu nitamwomba Asprin awe msemaji mkuu!

SL mpendwa sikurupuki...sasa hapo kauli sifuti nasubiri tume....kesi ya Nyani kupeleka kwa ngedere....lol
 
sweetie hapo bold naona kama patakuwa pagumu kweli kweli kupajibu...
 
BB If I may ask, ulishawahi kuwa kanyumba kadogo ka mtu?....If not ulijuaje hii siri kubwa namna hii?
Niliuliza

babu mie tena
Nikajibiwa, sina tena swali.

Khaaa! Hapa itakubidi either uthibitishe au ukanushe kauli yako. Vinginevyo nitaunda tume afu nitamwomba Asprin awe msemaji mkuu!
Hapa nikapewa ulaji............

SL mpendwa sikurupuki...sasa hapo kauli sifuti nasubiri tume....kesi ya Nyani kupeleka kwa ngedere....lol
Hommie akataka kunitibulia

Hommie....hapo ulitaka kusemaje hebu rudia tena....kabla sijakubomolea nyumba ndogo yako kwa greda...:A S 100:
Hapa hommie akazidi kuniharibia

Utakua na magreda ya kutosha?
Huyu ndo akaamua kuua mazima

ODM Kwishney!
 
Back
Top Bottom