Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
BB If I may ask, ulishawahi kuwa kanyumba kadogo ka mtu?....If not ulijuaje hii siri kubwa namna hii?Ila twende nyuma twende mbele, nyumba ndogo zinafaidi jamani, yaani utakuta jamaa kwake round moja chali, kwa nyumba ndogo mpaka povu linamtoka,bado atapewa story za nyumba kubwa zooote bila chenga, hapo inampa urahisi wa kurekebisha zile weakness za nyumba kubwa, inauma sana