Kwa Wanaume tu: Tunapoamua Kujenga Nyumba Ndogo

Hivi Asprin na Kaizer ndio wameenda kujisalimisha kwenye nyumba ndogo kwanza halafu ndio warudi (Natumaini shem wangu PA ataona comment hii) maana huyu bro nae simuelewi siku hizi ana disappear bila maelezo

PA haya ni maandishi tu dearest... Chukua Diary kama umeeandika ya humu chana zooote! labada kama umenakili post yangu tu!! lol (hawa jamaa usipoangalia waweza potea... waache hivo hivo)
 
Shem afazali umpe angalizo huyu dogo. Asije akaiga tembo kuachia mashuzi...... Mwambie kuna dogo mwenzie kaanzisha sredi kule anataka kufundishwa ni muda upi mzuri wa kufanya mapenzi.....khaa! JF zaidi ya niijuayo!
 
Hivi na hao wahudumu wanavyobadilishwa na walevi nao ni nyumba ndogo au wapita njia?

Kama unaweza kumlipia Bar Maid "Kodi ya Chumba" sorry "Nyumba" inamaanisha huyo ni "nyumba ndogo" by default. Hii ndiyo "criteria" namba moja ya mwanamke kuwa "nyumba ndogo"!

Kwa kuweka sawa criteria hizi hapa :- (Mwanamke yeyote ambaye siyo mke wako kisheria and yet unaweza kumsaidia yafuatayo ana-qualify kuwa small-house):
- Lipa Kodi
- Nunua "Furniture"
- Somesha Ndugu, watoto, e.t.c
- Mnunulie "vitz"
- Regular "outings"
- Mnunulie kiwanja (Goba! - Wakazi wa Goba samahani)
- e.t.c
 
Mwandiko ODM.... Oh! she was a great Indian teacher.... pause kidogo tumkumbuke....................... Inataosha.... No contacts, mie mwanafunzi wake sasa ndio mwalimu, with permission from my Love tutaanza tuisheni mara moja! (we ndo umeliegeza Mapenzi kwa Gaga... kwa ujenzi unaotaka kufanya... Hivo Sweetie anampoza asiumie saana)
 
Shem afazali umpe angalizo huyu dogo. Asije akaiga tembo kuachia mashuzi...... Mwambie kuna dogo mwenzie kaanzisha sredi kule anataka kufundishwa ni muda upi mzuri wa kufanya mapenzi.....khaa! JF zaidi ya niijuayo!

Ngoja nitoke nje ya this thread.... I am in a Lazy mood wala sielewi nini kinaendelea nje huko....lol
 
Oh.... RIP mwalimu wa Shem.....(Shem wanionea bure ujue.....Mi mwenyewe ndo huwa nanunua limbwata nampa anigee, ntalegezaje? Au anampa na hommie? Itabidi tuunde tume wallah)
 
Asante ODM... ndo nyumbani huko.... (Mbona sasa Sweetie kwangua hajapunguza kitu wala speed ya kitu chochote?? lol Shem labda tuunde tume ya wote wanne... maana ikiwa mimi na wewe tu......)
 
Sijaona hii post, kwanza najua wamekuibia pass word watu wabaya wanataka tugombane
 
The above Posts have been DELETED By "PAINKILLER" With Collaboration with "INNOVATOR"

Darling Kaizer na Darling Shem ODM bahati nzuri hizi posts zimefutwa na sijazisoma!!!! Khaaa!! (alafu nyie msipoangalia nyie.... Ohooo!!!)

Oups! Nashukuru PAW hajaziona, tungewekwa lupango na hommie wangu, ningeongea na King'asto (damn hili jina bana, khaa) aniazime ile kitu yake..... BTW hivi unajua navyokumisi? hebu do the needful!
Very funny
 
i mean this, yaani soulmate umeacha wamekuibia password kabisaaaaaa, wanataka tugombane, ngoja niondoke ofisini niende home kwanza
 
Khaaa! Ngoja nimPM Kaizer nimwulize kama anafahamu maana ya Kaizari....akisema anajua maana yake atakoma, manake itabidi arudishe chenchi yako!.

Hivi nilikua wapi hadi nakuta wajenzi washajenga magorofa yao madogo hapa....

Hujambo SL?
 
Mi pia nakushangaa, ulikuwa kwenye ile nyumba ya makuti inayovuja kama ya ODM au?.. Mi sijambo RR! Mwambie huyo nyumba ya makuti aache tabia ya kuloweka suruali bana!...
 
nyumba nyingine ni balaa...hapa hata kazini naenda kwa ruhusa maalum, chezea nyumba ndogo toka tanga.
 
Hahahaha! Kila dakika chumba kimefukizwa udi..nazi mpaka kwenye maji ya kuoga...lol...huyo nna hakika ushampatia na namba za my wife wako...
 
hahahaa...huyu anafaham hadi nyumbani kwa nyumba kubwa....kilichobaki ni kungoja rescue yako! btw, hapa thredi inasemaje?
 
Hommie....ex Saint RR....hapa naona unataka kuanza ujenzi ila nikutahadharishe hiki kiwanja kimeshanunuliwa na mtu na ana hati kabisa...lol
 
Soulmate shhhhhh (majirani watasikia, ongea mdogo mdogo bana)

Khaaa! Ngoja nimPM Kaizer nimwulize kama anafahamu maana ya Kaizari....akisema anajua maana yake atakoma, manake itabidi arudishe chenchi yako!.
Ngoja niangalie salio kwenye wallet yangu nione kama kuna umuhimu wa kwenda kwenye ATM.

Hivi nilikua wapi hadi nakuta wajenzi washajenga magorofa yao madogo hapa....

Hujambo SL?
Jiwe walilokataa waashi limekuwa jiwe kuu la msingi, tena la pembeni.

Mi pia nakushangaa, ulikuwa kwenye ile nyumba ya makuti inayovuja kama ya ODM au?.. Mi sijambo RR! Mwambie huyo nyumba ya makuti aache tabia ya kuloweka suruali bana!...
Hapa ntahitaji kuombwa radhi. On serious note with seriousness kwa hisani ya PAW.

nyumba nyingine ni balaa...hapa hata kazini naenda kwa ruhusa maalum, chezea nyumba ndogo toka tanga.
:mvutaji:

Hahahaha! Kila dakika chumba kimefukizwa udi..nazi mpaka kwenye maji ya kuoga...lol...huyo nna hakika ushampatia na namba za my wife wako...
:smokin:

hahahaa...huyu anafaham hadi nyumbani kwa nyumba kubwa....kilichobaki ni kungoja rescue yako! btw, hapa thredi inasemaje?
Naenda kuikana signature yangu...........! Afu nakusemea kwa nyumba ya vigae.

Hommie....ex Saint RR....hapa naona unataka kuanza ujenzi ila nikutahadharishe hiki kiwanja kimeshanunuliwa na mtu na ana hati kabisa...lol
Kibaya zaidi nasikia kiwanja chenyewe kimenunuliwa na mtoto wa Gadaffi........ hommie, utahudhuria mazishi ya hommie?
 
Ila twende nyuma twende mbele, nyumba ndogo zinafaidi jamani, yaani utakuta jamaa kwake round moja chali, kwa nyumba ndogo mpaka povu linamtoka,bado atapewa story za nyumba kubwa zooote bila chenga, hapo inampa urahisi wa kurekebisha zile weakness za nyumba kubwa, inauma sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…