Kwa Wanaume tu: Tunapoamua Kujenga Nyumba Ndogo

SL mpendwa sikurupuki...sasa hapo kauli sifuti nasubiri tume....kesi ya Nyani kupeleka kwa ngedere....lol
Khaaa! Umejibu kwa kujiamini mpaka raha! ODM atakuwa na kesi ya kujibu...lol... Itabidi tume iundwe as soon as posible!
 
Khaaa! Umejibu kwa kujiamini mpaka raha! ODM atakuwa na kesi ya kujibu...lol... Itabidi tume iundwe as soon as posible!

Wapi ODM SL......Namtafuta kipande hii
 
mjomba ushamaliza kujenga kasmall house? Nataka nikuletee vitasa vya milango

Duh bahati mbaya vitasa tayari original nishaweka na kuhamia kabisa mbona ulichelewa hivi?
 
nyumba ndogo haipewi talaka.....
Hommie habari za ujenzi....

Hommie RR nimeshamaliza ila kuna simenti imebaki kidogo na makenchi vipi nikupasie kidogo?
 
Last edited by a moderator:

wakati nyie TMK mnajadili vyama pinzani humu siye nyumba kubwa ngoja tukapike chapati za kitabu zenye pilipili manga na nyama ya mbuzi itakayookwa ikiwa kwenye foil iliyokuwa marinated kwa soy sauce,tangawiz,kitunguu swaumu,hajiramoto na mtindi,kisha tukimaliza tutapika chai ya maziwa yenye hiliki na tangawizi halafu tutaisave kwenye vile vyombo maalum,kisha tukoge na kujitia wanja na podari plus uturi wa Lamu shingoni na kuisave hiyo chai chumbaaaaaaaaaaaani!
 
Hommie RR nimeshamaliza ila kuna simenti imebaki kidogo na makenchi vipi nikupasie kidogo?

Usije ukawa unajisifia umemaliza kujenga kumbe ubora chini ya kiwango; then uanze tena kupimisha cement... lol mie naona usimgaie RR bora tu weka akiba stoo.
 
wow snowhite thats rite on hiyo menu imekaa vizuuuri kabisa..... nitarudi tu lazima kuja kula chapati, chai, na vyengine, chumbaniiiii kama kawaida. Ukifanya yote haya lazima uwe rewarded accordingly
 
Last edited by a moderator:
Usije ukawa unajisifia umemaliza kujenga kumbe ubora chini ya kiwango; then uanze tena kupimisha cement... lol mie naona usimgaie RR bora tu weka akiba stoo.

My wife unajua siwezi jenga nyumba 'ndogo' chini ya kiwango je ntaweka wapi sura yangu mbele yako utaikubali ya sub standard kweli? najua huwezi kubali kitu cha namna hiyo
 
mmmh, ngoja niangalie kama nyumba ndogo yangu imekua na kuwa kubwa.
 
thread inahusu nyumba ndogo tu au vibanda vidogo navyo vinahusika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…