Duh bahati mbaya vitasa tayari original nishaweka na kuhamia kabisa mbona ulichelewa hivi?
mwisho wake utajikuta tu kinywa na akili vinajiuliza hivi mbona najihangaisha!mie kimya!wow snowhite thats rite on hiyo menu imekaa vizuuuri kabisa..... nitarudi tu lazima kuja kula chapati, chai, na vyengine, chumbaniiiii kama kawaida. Ukifanya yote haya lazima uwe rewarded accordingly
thread inahusu nyumba ndogo tu au vibanda vidogo navyo vinahusika?
mwisho wake utajikuta tu kinywa na akili vinajiuliza hivi mbona najihangaisha!mie kimya!
Hahahha umeona eeh? Kufikia uamuzi huo ni kwa vile nyumba kubwa inakuwa imetimiza mahitaji yooote ya mwenye nyumba kama ulivoainisha hapo juu!