Kwa Wanaume tu: Tunapoamua Kujenga Nyumba Ndogo

Teamo yuko wapi?

Ye ndo anajuaga size za hizi nyumba...
 
sasa nikiwa nyumba ndogo halafu nikataftiwa vijumba vidogo vingine kama huyo jamaa yako nitafaidi nin hapo!
Ukiwa nyumba ndogo afu ukatafutiwa vijumba vidogo vingine wewe unapanda cheo. Unakuwa nyumba kubwa kipeuo cha pili... Unaona faida zake Husni?
 
sasa nikiwa nyumba ndogo halafu nikataftiwa vijumba vidogo vingine kama huyo jamaa yako nitafaidi nin hapo!

Ukiwa nyumba ndogo usipende kutangaza tangaza njaa mara leo sijui mtoto wa dada anaolewa dear naomba mchango wa kitchen party na send off wiki haijaisha tena mzinga oooh kuna madela mazuri yametoka dear naomba hela baada ya siku mbili ooh dear shangazi anaumwa nataka kwenda Kigoma naomba unilipie air ticket haya matatizo yanafanya nyumba ndogo kukimbiwa haswa haswa baada ya jamaa kufanya ukaguzi.
 
Teamo yuko wapi?

Ye ndo anajuaga size za hizi nyumba...
Mwache mwenzako! Ndoa yake bado changa (2yrs) haijaanza kupata mikiki so hana wala hajafikiria kuwa na nyumba ndogo...hzo size atajulia wapi?lolz..
 
Ukiwa nyumba ndogo afu ukatafutiwa vijumba vidogo vingine wewe unapanda cheo. Unakuwa nyumba kubwa kipeuo cha pili... Unaona faida zake Husni?

eti eeh! Ndio maana pure mathematics ulipata A.
 
hadi niwe nyumba ndogo ujue nina njaa za kutosha.
 
Khaaa! sasa kumbe amlilie nani shida?.. Fidel hujasikia kuwa nyumba ndogo ni nyumba ya raha? Kama huna hela baki kwa mkeo coz yeye ndo mna mkataba wa SHIDA na RAHA!
 
Mimi ODM ako hapa. Mmesharizika na kuelewana kuhusu huu mjadala pendwa?........ SL nakudai ujue? Haya ukuje huku tupate lunch wakati natafakari mustakabali wa nyumba ndogo yangu.
 
ngoja uishe King'asti........na ww ni mwanaume?
 
Mwache mwenzako! Ndoa yake bado changa (2yrs) haijaanza kupata mikiki so hana wala hajafikiria kuwa na nyumba ndogo...hzo size atajulia wapi?lolz..

Umesahau kwamba alianzisha chama na ana darasa...
 
Khaaa! sasa kumbe amlilie nani shida?.. Fidel hujasikia kuwa nyumba ndogo ni nyumba ya raha? Kama huna hela baki kwa mkeo coz yeye ndo mna mkataba wa SHIDA na RAHA!
SL hebu nisomee kwa sauti hiyo bold hapo......

Na ili ujue kuwa nyumba ndogo ni mjadala wa kitaifa, angalia idadi ya wachangia na watoa mada.........

There are currently 45 users browsing this thread. (19 members and 26 guests)
 
Khaaa! sasa kumbe amlilie nani shida?.. Fidel hujasikia kuwa nyumba ndogo ni nyumba ya raha? Kama huna hela baki kwa mkeo coz yeye ndo mna mkataba wa SHIDA na RAHA!

Kwa mtindo huu nyumba ndogo zinazalisha kitu kinacho itwa hit and run
 
hahaha ODM hebu fafanua hii kitu? inaenda against nature...
 
Ukiwa nyumba ndogo afu ukatafutiwa vijumba vidogo vingine wewe unapanda cheo. Unakuwa nyumba kubwa kipeuo cha pili... Unaona faida zake Husni?

Nyumba ndogo sumbufu zinazaa nyumba ndogo square route mwisho wa siku hit and run.
Baba amekimbia chungu ya nyumba kubwa na nyumba ndogo nayo iwe chungu thubutu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…