Kwa Wanaume tu: Tunapoamua Kujenga Nyumba Ndogo

Wakuu

Tukumbushane tu kuwa kwa wale wazoefu wa hapa MMU...kumekuwa na mijadala mirefu na mizito kuhusu nyumba kubwa na ndogo, kwa nini wanaume na wanawake wanapenda differently, na ni kwa nini mapenzi huwa yanapaswa kufuata mkondo, let alone dhana ya 'ulinzi wa penzi'

Kuna vitu tumekubaliana kimsingi katika kutokukubaliana japo wengine tumekubaliana kwamba dhana ya nyumba ndogo ipo na itaendelea kuwepo na ilikuwepo,...mifano ipo....hapa sitaki niwe subjective hata kidogo

So...sisi kama wanaume....inapokuwa sasa okay ngoja nijenge "nyumba ndogo"...ni vitu gani hasa unakuwa unaangalia?
  • Je, nyumba yenyewe inakuwa 'ndogo' in the real sense ya neno lenyewe? (lets say kiumbo?)
  • trend iko vipi, zonazokuwa preferred ni zile tulizopishana nazo umri sana, (lets say 10 years), tulio sawa au waliotupita? au havihusiani kabisa?
Ambacho ningependa hasa tufikia muafaka ni kwa nini ziliitwa 'nyumba ndogo'?

Karibuni tushee maexperience hapa......

Teamo yuko wapi?

Ye ndo anajuaga size za hizi nyumba...
 
sasa nikiwa nyumba ndogo halafu nikataftiwa vijumba vidogo vingine kama huyo jamaa yako nitafaidi nin hapo!
Ukiwa nyumba ndogo afu ukatafutiwa vijumba vidogo vingine wewe unapanda cheo. Unakuwa nyumba kubwa kipeuo cha pili... Unaona faida zake Husni?
 
Ukiwa nyumba ndogo usipende kutangaza tangaza njaa mara leo sijui mtoto wa dada anaolewa dear naomba mchango wa kitchen party na send off wiki haijaisha tena mzinga oooh kuna madela mazuri yametoka dear naomba hela baada ya siku mbili ooh dear shangazi anaumwa nataka kwenda Kigoma naomba unilipie air ticket haya matatizo yanafanya nyumba ndogo kukimbiwa haswa haswa baada ya jamaa kufanya ukaguzi.
 
Teamo yuko wapi?

Ye ndo anajuaga size za hizi nyumba...
Mwache mwenzako! Ndoa yake bado changa (2yrs) haijaanza kupata mikiki so hana wala hajafikiria kuwa na nyumba ndogo...hzo size atajulia wapi?lolz..
 
Ukiwa nyumba ndogo afu ukatafutiwa vijumba vidogo vingine wewe unapanda cheo. Unakuwa nyumba kubwa kipeuo cha pili... Unaona faida zake Husni?

eti eeh! Ndio maana pure mathematics ulipata A.
 
Ukiwa nyumba ndogo usipende kutangaza tangaza njaa mara leo sijui mtoto wa dada anaolewa dear naomba mchango wa kitchen party na send off wiki haijaisha tena mzinga oooh kuna madela mazuri yametoka dear naomba hela baada ya siku mbili ooh dear shangazi anaumwa nataka kwenda Kigoma naomba unilipie air ticket haya matatizo yanafanya nyumba ndogo kukimbiwa haswa haswa baada ya jamaa kufanya ukaguzi.

hadi niwe nyumba ndogo ujue nina njaa za kutosha.
 
Ukiwa nyumba ndogo usipende kutangaza tangaza njaa mara leo sijui mtoto wa dada anaolewa dear naomba mchango wa kitchen party na send off wiki haijaisha tena mzinga oooh kuna madela mazuri yametoka dear naomba hela baada ya siku mbili ooh dear shangazi anaumwa nataka kwenda Kigoma naomba unilipie air ticket haya matatizo yanafanya nyumba ndogo kukimbiwa haswa haswa baada ya jamaa kufanya ukaguzi.
Khaaa! sasa kumbe amlilie nani shida?.. Fidel hujasikia kuwa nyumba ndogo ni nyumba ya raha? Kama huna hela baki kwa mkeo coz yeye ndo mna mkataba wa SHIDA na RAHA!
 
Hivi hata tukichukulia dhana ya Mke mdogo...

bado ninaamini kabisa kwa mfano wa mababu zetu, wale ambao kwao Dini ilikuwa bado, kuwa hakukuwa na namna ambayo mke mdogo anakuwa na umri mkubwa kuliko mke mkubwa...simply because mara nyingi alikuwa anaolewa baada ya mke mkubwa kuwa ameshaolwa zamani na labda ana watoto

Ninachojaribu kujiuliza ni kama kuna the same trend nowadays........? SL babu ODM yuko wapi saa hizi?

Siku hizi hawafwati hayo ya zamani, utakuta mtu ana kamke kake kaduchu kwa umri na umbo pia afu nyumba ndogo hilooo, bonge la mama yan mkubwa kwa umbo na kwa umri. ODM anawaita 'mashankupe'.. Kaizer ODM katoroka coz amevunja sheria za jf, amefanya 'name calling' anasubiri PAW asahau kwanza ndo atarudi.
Mimi ODM ako hapa. Mmesharizika na kuelewana kuhusu huu mjadala pendwa?........ SL nakudai ujue? Haya ukuje huku tupate lunch wakati natafakari mustakabali wa nyumba ndogo yangu.
 
afu mkimaliza huu mjadala muunganishe kujadili scenario ya nyumba ndogo inapokua promoted to nyumba kubwa:
1 itaendelea ku-behave ama nyumba dogo ama taweka mikono mbele kama nyuba kuba?
2 je kutakua na haja ya kuwa na nyumba ndogo nyingine kwa maana ya ku-occupy orbital iliyokuwa wazi?
nawashukuru wanaume wote waliochangia pamoja nami, sweetlady,mj1 et al

ngoja uishe King'asti........na ww ni mwanaume?
 
Mwache mwenzako! Ndoa yake bado changa (2yrs) haijaanza kupata mikiki so hana wala hajafikiria kuwa na nyumba ndogo...hzo size atajulia wapi?lolz..

Umesahau kwamba alianzisha chama na ana darasa...
 
Khaaa! sasa kumbe amlilie nani shida?.. Fidel hujasikia kuwa nyumba ndogo ni nyumba ya raha? Kama huna hela baki kwa mkeo coz yeye ndo mna mkataba wa SHIDA na RAHA!
SL hebu nisomee kwa sauti hiyo bold hapo......

Na ili ujue kuwa nyumba ndogo ni mjadala wa kitaifa, angalia idadi ya wachangia na watoa mada.........

There are currently 45 users browsing this thread. (19 members and 26 guests)
 
Khaaa! sasa kumbe amlilie nani shida?.. Fidel hujasikia kuwa nyumba ndogo ni nyumba ya raha? Kama huna hela baki kwa mkeo coz yeye ndo mna mkataba wa SHIDA na RAHA!

Kwa mtindo huu nyumba ndogo zinazalisha kitu kinacho itwa hit and run
 
Siku hizi hawafwati hayo ya zamani, utakuta mtu ana kamke kake kaduchu kwa umri na umbo pia afu nyumba ndogo hilooo, bonge la mama yan mkubwa kwa umbo na kwa umri. ODM anawaita 'mashankupe'.. Kaizer ODM katoroka coz amevunja sheria za jf, amefanya 'name calling' anasubiri PAW asahau kwanza ndo atarudi.

hahaha ODM hebu fafanua hii kitu? inaenda against nature...
 
Ukiwa nyumba ndogo afu ukatafutiwa vijumba vidogo vingine wewe unapanda cheo. Unakuwa nyumba kubwa kipeuo cha pili... Unaona faida zake Husni?

Nyumba ndogo sumbufu zinazaa nyumba ndogo square route mwisho wa siku hit and run.
Baba amekimbia chungu ya nyumba kubwa na nyumba ndogo nayo iwe chungu thubutu
 
Back
Top Bottom