Kwa wanaume tu!

Kwa wanaume tu!

Wasalaam!

Wakati mwingine wanaume hamjui mnachotaka au mnakuwa mnawaza nini! Unakutana na mdada anakueleza tu ukweli kwamba kazi yake ni kuuza mkaa, au mama ntilie, au mfagiaji wa maofisini au kazi yoyote zile zinazoonekana hazina hadhi, wewe unamkwepa na kama mlikuwa mnawasiliana unakata mawasiliano kwa nini?

Kwamba wenye kazi hizo tajwa hapo juu ni vimeo, au hawana hadhi au wana nini? Mnataka mdanganywe ooh, mi ni banker, teller, nna botique yangu sinza niko TRA pale makao makuu! Alafu mkija kugundua ukweli mnawalaumu wanawake wana fake maisha?

So which is better kwenu hebu wekeni wazi, tuendelee kuwadanganya ili twende sawa au tuwe wakweli tu?

Majibu yenu ni muhimu.

Have a good time to finalize the weekend!
[emoji8]
Achana na wanaume. Fanya mambo mengine
 
Una uhakika unawazungumzia wanaumenhapa au wanawake?!

Maana sijawahi kusikia kigezo cha mwanaume kuwa na mwanamke kuwa ni kazi..... Ila wanawake ndio magwiji wa kuchagua wanaume kwa vigezo vya kazi....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilichokizungumzia nimekishuhudia kwa ke zaidi ya watatu
 
Back
Top Bottom